Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani.
kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na...
Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia.
Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono...
Tang Renjian, Waziri wa zamani wa Kilimo na Mambo ya Vijijini wa China, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishiwa kwa kosa la kupokea rushwa na mahakama ya mkoa wa Jilin siku ya Jumapili, kwa...
China na Urusi hawawezi kukuokoa na mkono wa Marekani
Ukiwa na urafiki nao, siku kikiumana, watakuwa wanaishia kupiga kura ya veto tu UN na kulaani basi, ila kamwe huwezi kuwaona wakijitokeza...
Gaza flotilla ni msafara wa meli ulioandaliwa na wanaharakati wa kimataifa, mashirika ya kiraia, na watu binafsi wenye lengo la kupeleka misaada ya kibinadamu moja kwa moja kwa watu wa Gaza...
SIMBA ni simba
Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio
Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia
Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel.
Kwa...
Mbunge mpya wa Uingereza 🇬🇧 aliyechaguliwa huko Bradford George Galloway atangaza Jiji la Uingereza 🇬🇧 kuwa👇
"Eneo lisilo na Israeli 🇮🇱"
"Tumetangaza Bradford kuwa eneo lisilo na Israel 🇮🇱...
James Comey mkuu wa zamani wa FBI ambaye katika kipindi chake Trump alichaguliwa rais kwa mara ya kwanza sasa atafikishwa mahakamani baada ya muendesha mashitaka chawa wa Trump aliyepachikwa muda...
Takribani watu 19, akiwemo afisa wa polisi, wamejeruhiwa katika maandamano makubwa ya kupinga serikali ya Rais wa Peru Dina Boluarte na Bunge, kwa mujibu wa mamlaka na wanaharakati wa haki za...
Idadi kubwa ya waandamaji zaidi ya 100,000 walijitokeza mjini Berlin wakipinga vita vya Gaza ,waandamanaji hao waliipa jina Together for Gaza
Waandamanaji mashinikizo yao kwa serikali ni pamoja...
Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) ambayo imetekelezwa kwa miaka 25 inakaribia kumalizika tarehe 30 Septemba, lakini Marekani bado haijaamua iwapo itaongeza muda wake. Kutokana na hali ya...
Septemba 27, 2025 raia wa Gabon walipiga kura uchaguzi wa kwanza wa wabunge na wawakilishi serikali za mitaa ikiwa ni tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2023 yaliyomaliza utawala wa kifamilia ya...
Serikali ya Guinea imetangaza kwamba uchaguzi wa kwanza wa urais tangu mapinduzi ya kijeshi ya miaka minne iliyopita utafanyika Desemba 28, 2025. Hatua hiyo inakuja baada ya kura ya maoni yenye...
Niaje waungwana
Japo hatua ya mataifa ya Magharibi kama vile UK, Ufaransa, Canada, Australia, Spain, Ireland nk imeonesha kuwafurahisha wengi, na kuwapa matumaini ya kuona mwisho wa vita kati ya...
Historia ya tabia za jinsia moja katika Kandahar na maeneo ya Asia ya Kati:
Katika baadhi ya jamii za kihistoria, hasa zile zenye mfumo wa kijeshi au wa wanaume pekee (patriarchal), kumekuwa na...
Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola...
Wataliban wamekataa ombi la Rais wa Marekani Donald Trump la kurejesha kambi ya kijeshi ya Bagram, wakisisitiza kuwa uhuru na mipaka ya Afghanistan ni muhimu na Marekani iheshimu makubaliano ya...
Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga...
Ofisi ya Waziri Mkuu imeiagiza IDF kuweka vipaza sauti kote Gaza ili kurusha moja kwa moja hotuba ya Umoja wa Mataifa ya Waziri Mkuu Netanyahu kwa wakazi wa eneo hilo hapo say 10 jioni ya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.