International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Middle East countries where leaders lost power amid protests, past decade: - Tunisia - Egypt - Libya (military intervention) - Yemen - Algeria Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Ripoti ya jopo la tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi inaeleza kwamba serikali ya rais Pierre Nkurunziza imekuwa kandamizi zaidi. Tume hiyo ya watu watatu inasema hali hiyo si...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Both of Paul Manafort’s prison sentences are in — and together, they add up to 7 and a half years, meaning he’s gotten the longest sentence yet for any defendant in special counsel Robert...
1 Reactions
2 Replies
861 Views
Jengo la ghorofa tatu lililokuwa na shule ya msingi limeanguka leo majira ya saa nne asubuhi huko Itafaji jijini Lagos ikiwa ni muda ambao vipindi vimeanza Shule hiyo inadaiwa ilikuwa katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uchaguzi wa urais nchini Algeria uliotarajiwa kufanyika tarehe 18 mwezi ujao umeahirishwa baada ya Rais Abdelazi Bouteflika aliyetarajia kuwania wadhfa huo kujiondoa Uamuzi wa kuahirisha uchaguzi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
TUME ya Uchaguzi nchini hapa, imetangaza kuwa Uchaguzi Mkuu utafanyika mwezi ujao ambao utakuwa ni wa kidemokrasia katika taifa hili na huku ikionekana kwamba, Waziri Mkuu, Narendra Modi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
The UK has banned all arrivals, departures and overflights involving the aircraft type that was lost in Sunday’s crash in Ethiopia, the Boeing 737 MAX 8. As investigators urgently seek to...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa nchi hiyo ya Amerika ya Kusini, Nicolas Maduro ameishutumu Marekani kuwa ndio walioshambulia miundombinu ya umeme, japo amekiri kuwa hawajathibitisha hilo bado. Shughuli mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Source: Mama amsahau mtoto airport, ndege yageuza angani kumfuata
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika harakati ya kutembelea moja ya mashamba yetu huku vijijini nimekutana na hili shamba la hekari 9.5 lina mawe haya, kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KHARTOUM,SUDAN MUDA wa kutekelezwa sheria ya hali ya hatari nchini Sudan umepunguzwa kutoka mwaka mmoja na sasa ni miezi sita. Taarifa zaidi zinasema kuwa, Bunge la Sudan lilitangaza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Abdelaziz Bouteflika mwenye umri wa miaka 82 na ameiongoza Algeria kwa zaidi ya miongo miwili Alitangaza kuwania tena nafasi hiyo na kuzua maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kupinga...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Wapenzi wawili nchini Iran wamekamatwa baada ya kuchumbiana hadharani huku watu wakiwashangilia. Kanda ya video ya tukio hilo lililofanyika katika mji wa kaskazini wa Arak iliyosambazwa katika...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Severe turbulence tossed terrified passengers and crew around a Turkish Airlines plane cabin as it passed over Maine on Saturday, with 30 people suffering bumps, bruises, cuts and a broken leg...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hizi taarifa zimezagaa kote na kuwashangaza wengi, wakiwemo wasioamini uwepo wa Mungu au nafsi. Moto uliunguza kanisa lote hadi likabaki majivu, wazima moto walijaribu kuuzima ikashindikana...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Fanyen biashara Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
22 Replies
4K Views
How to stay cool under pressure, according to Barack Obama Sarah Harvard,The Independent 11 hours ago Former President Barack Obama shared his...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
NEWARK — Smoke on an aircraft led to 189 passengers being evacuated from an aircraft in an emergency landing at Newark Liberty International Airport on Saturday morning, a Port Authority official...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Shirika la ndege la Ethiopia limetangza kusitisha safari za ndege zake zote chapa Boeing 737 Max 8 kuanzia Machi 10, nakusema wameamua kuchukua hatua hiyo kama tahadhari ya ziada licha ya kuwa...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Back
Top Bottom