Uchaguzi wa Algeria waahirishwa

Uchaguzi wa Algeria waahirishwa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Uchaguzi wa urais nchini Algeria uliotarajiwa kufanyika tarehe 18 mwezi ujao umeahirishwa baada ya Rais Abdelazi Bouteflika aliyetarajia kuwania wadhfa huo kujiondoa

Uamuzi wa kuahirisha uchaguzi huo umetolewa na Rais Bouteflika jana na kusababisha maelfu ya wananchi kuandamana wakidai mabadiliko ya haraka katika nchi hiyo

Abdilaziz Bouteflika (81) ameonekana kukubali shinikizo la waandamanaji ambao wamekuwa wakipinga hatua yake ya kujitosa kwenye kinyanganyiro tena licha ya umri wake na hali yake kiafya
 
Amefanya maamuzi mazuri kujiondoa, maana angesababisha vifo tu
 
Back
Top Bottom