leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,441
- 1,853
Fact.
Huko maofisini watakaa kina nani Sasa kama kila mtu atakuwa mfanyabiashara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan wewe umetenga wanao wangapi ili waje wawe wanatuchimbia vyoo?! Kama wote unawahamasisha wasome waje wawe na maisha mazuri je nani atatuchimbia mitaro na kutufagilia nyumba zetu?! Nadhan mmenielewa na hapo pia utakuwa mmemuelewa rais kenyattakila mtu akijiajiri, viwandani hakutakua na vibarua, maopareta, mainjinia, wahasibu wala wakuu wa idara, maana kila mmoja atakua bize kujiajiri,
kwani sio kazi?wanatuchimbia vyoo?
Ulitakiwa usome coment yangu na kuelewa ila tatizo wewe umesoma tu,kwani sio kazi?
kama mkono unaenda kinywani amna shidaunamtakia aje afanye kazi hiyo?
Duh! Hujaelewa tu! Haya basi ni kutafunie afu wewe umeze tu sawa. Alichokiandika kenyatta ni kama mzazi anavyowaambia wanae au mwalimu anavyowaambia wanafunzi wake wasome kwa bidii ili baadae waje wawe na maisha mazuri, unadhani mwalimu ama mzazi anaposema hayo hajui vyoo inabidi vizibuliwe? Na je watu wote wakifanikiwa kuwa kama matarajio ya mwalimu/mzazi nani atavizibua?! Huu ni mfano.kama mkono unaenda kinywani amna shida
Wakipungua ndo mishahara itaongezeka unadhan Wakipungua mkulu atasema kama hutaki achakila mtu akijiajiri, viwandani hakutakua na vibarua, maopareta, mainjinia, wahasibu wala wakuu wa idara, maana kila mmoja atakua bize kujiajiri,
Kaku elewaKwan wewe umetenga wanao wangapi ili waje wawe wanatuchimbia vyoo?! Kama wote unawahamasisha wasome waje wawe na maisha mazuri je nani atatuchimbia mitaro na kutufagilia nyumba zetu?! Nadhan mmenielewa na hapo pia utakuwa mmemuelewa rais kenyatta
Sent using Jamii Forums mobile app
We umeandaa wanao waje kuokota makopoAmevimbiwa huyu mtoto wa "mdosi", kama angetoka kwenye familia ya kawaida kama Said S. Bakhresa ningemuelewa lakini siyo yeye aliyekuta kila kitu mezani.
Kwa kifupi ni kuwa tutumie mda watu vyema, hata kama umeajiriwa tumia mda wako wa ziada baada ya kumaliza kazi zako ofisini kajishughurishe na uzalishaji mali hasa biashara hili wanao uwajengee ground nzuri katika maisha na sio kubweteka na kazi yako tu. Kwa kuwa unaweza kumrithisha mwanao biashara lakini sio kazi.Duh! Hujaelewa tu! Haya basi ni kutafunie afu wewe umeze tu sawa. Alichokiandika kenyatta ni kama mzazi anavyowaambia wanae au mwalimu anavyowaambia wanafunzi wake wasome kwa bidii ili baadae waje wawe na maisha mazuri, unadhani mwalimu ama mzazi anaposema hayo hajui vyoo inabidi vizibuliwe? Na je watu wote wakifanikiwa kuwa kama matarajio ya mwalimu/mzazi nani atavizibua?! Huu ni mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Back at the top and re-readHuko maofisini watakaa kina nani Sasa kama kila mtu atakuwa mfanyabiashara?
Sent using Jamii Forums mobile app