The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 530
Katika harakati ya kutembelea moja ya mashamba yetu huku vijijini nimekutana na hili shamba la hekari 9.5 lina mawe haya, kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa.
Vipi kuhusu haya mawe yapo juu tu shamba katika eneo moja then kwa chini kuna mtoKatika harakati ya kutembelea moja ya mashamba yetu huku vijijini nimekutana na hili shamba la hekari 9.5 lina mawe haya, kwa wataalamu wa madini njooni tupige pesa sasa.
View attachment 881110View attachment 881111View attachment 881112View attachment 881113
kaka kaka, Je ulifanikiwa kupata mnunuzi, muwekezaji au mshauri ???Vipi kuhusu haya mawe yapo juu tu shamba katika eneo moja then kwa chini kuna mto