Taasisi za kijamii hasa za kidini ni hatari mno kuziandama Kwa namna yeyote Sababu kubwa ni kuwa zile zina watu wa kudumu wakati vyama vya siasa havina.Kitendo cha kufungia Taasisi nyingi za...
Jeshi la Israeli limesema leo raia mmoja wa Israeli ameuwawa na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya katika mashambulizi ya bunduki na kisu katika eneo la ukingo wa magharibi mto wa Jordan...
Washambuliaji wawili wa kujitoa mhanga ambao walikuwa kwenye harakati za kutekeleza shambulizi la bomu katika kanisa moja kaskazini mashariki mwa Nigeria wameripotiwa kufa baada ya bomu waliokuwa...
Egypt warns Hamas: Israel will topple you and ‘we won’t lift a finger’Egypt warns Hamas: Israel will topple you and ‘we won’t lift a finger’
Following a rocket barrage from Gaza on Thursday...
Kwa mujibu wa Maafisa wa Serikali Watu hao wamefariki huko Papua Mashariki mwa Indonesia na idadi hiyo inaweza kuongezeka wakati uokoaji ukiendelea
Mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua kubwa...
Kigali,Rwanda .Rais wa Rwanda Paul Kagame ameelezea kuwa chimbuko la mgogoro baina ya nchi yake na nchi ya Uganda ni la tangu miaka 20 iliyopita nchi ya Uganda ikitaka kuangusha utawala wake...
Wizara ya mambo ya kigeni ya Urusi, imesema itajibu vikwazo vipya vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya, bila ya kuanisha moja kwa moja hatua inayolenga kuchukua. Umoja wa Ulaya ulitangaza siku ya Ijumaa...
1.Tujikumbushe kuwa Congo ni nchi ambayo tunaitegemea sana katika bandari yetu nadhan asilia 40% ya mizigo inayotoka pale ni kwenda nchini kwao ko unaona ni watu muhimu kiasi gan katika uchumi...
WASHINGTON (Reuters) - A dissident organization committed to overthrowing North Korean leader Kim Jong Un was behind a raid on the North Korean embassy in Spain last month, The Washington Post...
USA wanapenda sana kusema oh Twende vita Iraq wanataka democracy na Wakati wao hawana democracy ,FBI na CIA na media colluded to bring down trump , Admission...
Shirika la usafiri wa ndege Rwanda limetoa agizo kwa marubani na kampuni za ndege kutoendesha ndege za Boeing 737 Max 8 ana 9 katika anga ya Rwanda.
Rwanda sasa imejiunga na mataifa mengine...
President Donald J. Trump tweeted a one-word message moments after the Senate voted to block his border emergency declaration. The measure passed 59-41 with a dozen Republicans joining Democrats...
Nimekua nikifuatilia Forbes under 30 Kwa mda sasa, ila nilichogundua hawa Forbes under 30 wa Africa wanafanya vitu vya kawaida sana japokuwa sio wote. Mfano kulikuwa na kijana wa kitanzania...
Why we fought Rwanda in Congo
July 20, 2014
Written by Observer Media Ltd
[https://observer]In Part X of these series, we bring you the second part of a speech that President Museveni delivered...
Ndege za leo zimetengenezwa kwa namna ambayo ni ya kisasa sana kwa kutumia mfumo wa kumpyuta (automation) kiasi cha kwamba inazidi kudhihirika kwamba hili sasa linakuwa tatizo kwa ma-pilot wengi...
Kampuni ya Boeing Marekani inayotengeneza ndege iliyoanguka Ethiopia imesitisha matumizi ya ndege zote aina hiyo baada ya wachunguzi kubaini ushahidi mpya katika eneo ambako ndege ya Ethiopia...
Habarin wanajamii Forum wenzang napenda kumshukur mungu kuendelea kunipa pumzi, mpaka Wakat huu
Nikienda moja kwa moja katika duku duku lang n kwa wale wanaoishi nje ya nchi, wapo walioenda kwa...
Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjanin Netanyahu jana usiku aliitisha majadiliano ya dharura ya kijeshi na makamanda wa jeshi nchini humo, baada ya shambulizi la maroketi dhidi ya Tel Aviv kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.