Yatokeayo Venezuela vyombo vyote vya Ulaya vinaripoti haya ya Ufaransa mbona kimya si BBC wala CCN

Wakimaliza huku itafuata vuguvugu la Brexit kama bunge haliridhia kujitoa UE uingereza hiki nacho kitafuata
 
Back
Top Bottom