CHRISTCHURCH, NEW ZEALAND: Serikali yapiga marufuku uuzwaji wa silaha za kivita. Hii ni baada ya kutokea kwa mashambulio katika misikiti miwili na kuua watu 50
Waziri Mkuu, Jacinda Ardern amesema...
Poleni sana ndugu zetu mliopatwa na mafuriko huko nchi za bondeni. Tumewapa misaada lakini chonde chonde tunaomba muifikishe kwa waathirika msije mkaingiwa na shetani kama aliyetuingia sisi...
Kampuni ya Uingereza ya EasyJet imejitoa katika kundi la kampuni tatu zilizotaka kununua kampuni ya ndege ya Italia, Alitalia, katikati hali inayokazia kuhusu hali ngumu ya biashara angani...
Mzuqa
Baada ya ajali ya ndege ya kutisha ya Ethiopian Airline iliyotokea Jumapili wiki iliyopita Uongozi wa Ethiopian Airline waliamua makusudi kupeleka Black box Ufaransa makao makuu ya Airbus...
Watu wanaoishi katika mji mkuu wa Msumbiji Maputo wameonywa kutokea kwa hali mbaya zaidi kutokana na kimbunga kikali.
Tufani iliyopewa jina la Idai, ambayo inabeba upepo wenye kasi ya kilomita 225...
The death toll has risen to at least 215 after Cyclone Idai tore into central Mozambique last week before continuing on to Zimbabwe and Malawi, bringing flash floods and ferocious winds.
At least...
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa tatizo la kukatika kwa umeme lililokuwa linalikabili Taifa hilo limekwisha na maisha yanaendelea kama kawaida.
Nchi hiyo imejikuta katika mgogoro...
LONDON, UINGEREZA
MPANGO wa Waziri Mkuu Theresa Maykuhusu kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya (EU), maarufu kama Brexit umepata pigo jipya.
Hali hiyo imekuja baada ya Spika wa Bunge, John Bercow...
Mvua kubwa na theluji vimesababisha vifo vya watu wawili huku wengine wawili wakiwa hawajulikani walipo nchini Marekani.
Maafisa wa jimbo la Nebraska wamesema katika taarifa hiyo jana, kuwa mtu...
Comments Off on Mtuhumiwa mauaji ya watu 49 msikitini afikishwa mahakamani
Mshukiwa namba moja wa shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini New zealand jijini Christchurch, na kuua watu 49...
Arusha. Burundi imefungua rasmi kesi katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kupinga uchaguzi wa Spika wa sasa wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala).
Mwanasheria wa Burundi, Nestory Kayobera...
Huyu bwana Kagame hivi sasa ni mwenyekiti wa East African Community, Yeye ndiye mlezi mkuu wa hii jumuia
Hata hivyo cha ajabu badala ya kubehave kama Mlezi namba moja wa hii jumuia yeye ndiye...
Mafuriko hayo yaliyolikumba eneo la Papua yalisababisha maporomoko ya udongo
Idadi hiyo inahofiwa kuwa inaweza kuongezeka kutokana na mamia ya watu kutokujulikana walipo tangu kutokea kwa janga...
Seneta Fraser Anning wa Jimbo la Queensland nchini Australia amepigwa na yai na kijana mmoja baada ya kudai Waislamu wanaohamia New Zealand ndio chanzo cha shambulio lililotokea Msikini na kuua...
WAKUU HAPA JF, NAWASALIM!
Katika kufuatilia mjadala wa BREXIT unaoendelea katika Bunge la Uingereza nimeshawishika kujiuliza kama watawala wetu na wabunge wa BJMT wanajifunza chochote kuhusu...
Serikali ya Uganda imeishutumu Rwanda kwa kuyazuia magari ya mizigo, ya abiria na Wananchi wake kuingia nchini humo
Msemaji wa Serikali ya Uganda, Ofwono Opondo amewaambia Waandishi wa Habari...
Korea kusini, ndio nchi inayo ongoza Duniani kwa Raia wake kufanya plastic surgery (matengenezo ya mwili), ili kuleta muonekano mzuri kwao. Hii picha imekuwa gumzo sana mitandaoni, kutokana na...
President Vladimir Putin signed laws punishing online media and individuals for spreading “fake news” or material that’s considered insulting to Russian officials.
Prosecutors can now complain...
THAILAND: Askari wa Jeshi la Polisi wapelekwa kambi maalumu kwa ajili ya kupunguza uzito
Jumla ya Askari 200 wamehusika kwenye progamu ya majaribio ya wiki mbili ambapo wengi wamepunguza uzito...
Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern amesema mnamo siku chache zijazo atatangaza sheria mpya kuhusu umiliki wa bunduki katika nchi hiyo, baada ya shambulizi kwenye misikiti miwili ambamo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.