Kuna utofaut kati ya forbes under 30 wa africa na sehemu nyingine

dennoo_appliances

Senior Member
Nov 28, 2018
136
190
Nimekua nikifuatilia Forbes under 30 Kwa mda sasa, ila nilichogundua hawa Forbes under 30 wa Africa wanafanya vitu vya kawaida sana japokuwa sio wote. Mfano kulikuwa na kijana wa kitanzania alikuwa na app ya kusoma magezet lakin wakasema ni billionaire ajaye, ila ukiangalia Kwa biashara anayofanya ni ngumu Kwa yeye kufikia kiwango cha u-billionaire, au kuacha alama itakayodumu. Na ukifuatilia Kwa wenzetu kwe Forbes under 30 idea zao sio mediocre kama zetu, na zinaonyesha impact kubwa katika jamii zao, tofaut na huku kwetu hawa Forbes under 30 idea zao hazionyeshi impact yeyote katika jamii nzima ya ki-africa
 
Back
Top Bottom