Mahakama ya kijeshi nchini Urusi imewahukumu wanajeshi 15 wa Ukraine waliotekwa kwa makosa ya ugaidi siku ya Oktoba 17, 2025, na kuwapa vifungo vya hadi miaka 21 gerezani — katika kesi iliyopigwa...
Baada ya uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 12 Oktoba nchini Cameroon, pande zote mbili chama tawala na upinzani zinadai ushindi, ingawa matokeo rasmi yanatarajiwa kutolewa wiki ijayo
Katika...
Kiongozi mpya wa kijeshi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa taifa hilo siku ya Ijumaa, Oktoba 17, 2025, licha ya upinzani kutoka kwa Umoja wa Afrika...
Wakuu hili suala la Kanali Michael Randrianirina kamanda wa kikosi maalum cha CAPSAT, kuwa rais wa Madagascar leo 17 Otoba 205, mimi bado nina wasiwasi na hatma ya nchi hii. Hili limetokea siku...
Iran wamepokea mzigo wa kutosha kutoka Urusi, nadhani hii ndo delivery kubwa kuwahi kufanyika hapa duniani kwa muda mfupi...
[emoji3544] 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 [emoji3544]
[emoji1130] | Iran on Track to...
Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake umefanyika wiki hii mjini Beijing kufuatia wito wa rais Xi Jinping wa China, na kuweka hatua mpya muhimu katika historia ya maendeleo ya wanawake.
Miaka 30...
BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti.
Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩
Donald Trump's latest threat to impose an additional 100% tariff on Chinese goods is "a typical example of US double standards", China's government has said.
A Commerce Ministry spokesperson also...
Dunia imeshuhudia na kushangilia 'kusainiwa' kwa mkataba wa amani almaaruf PEACE CONFERENCE 2025 kulikofanyika huko Sharm el Sheikh Misri. Japo hatuna uhakika wa kuleta majibu, maswali...
Huenda umelisikia sana jina Scott Bessent tangu Trump aingie madarakani hasa wakati huu wa vita vya kiuchumi kati ya Marekani na China.
Huyu ni U.S Treasury Secretary na ndiye mwakilishi...
Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel.
Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza.
---
Senior U.S. Officials, including President Joe...
Magari ya Msalaba Mwekundu huko Gaza yanajiandaa kwa ajili ya kuachiliwa kwa mateka kutokana na makubaliano yanayotarajiwa ya kusitisha mapigano huko Gaza!!
Hii imewezekana tu baada ya majeshi ya...
Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa...
Department of State imefuta VISA kadhaa za raia wa kigeni walio Marekani ambao walishangilia kifi cha Charles Kirk.
==============
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (@StateDept)
Marekani haina...
REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea...
Rais Cyril Ramaphosa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ujasusi, Imtiaz Fazel, baada ya malalamiko kuwasilishwa dhidi yake.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatano jioni, msemaji wa Ikulu Vincent...
Iranian state television on Tuesday afternoon urged people to remove WhatsApp from their smartphones, alleging without specific evidence that the messaging app gathered user information to send to...
Waziri Mkuu Mteule wa Madagascar, Jenerali Ruphin Fortunat Zafisambo, amelaani kile alichosema ni matumizi ya nguvu kupita kiasi ya wana Usalama na Waandamanaji, baada ya wiki tatu za Maandamano...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Cameroon, Paul Atanga Nji, amepinga madai ya ushindi yaliyotolewa na mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary na kumtuhumu kwa jaribio la kuvuruga mchakato wa uchaguzi...
Leo Oktoba 15, 2025 Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, amesema kwamba “anachukua nafasi ya urais” baada ya kumng’oa madarakani Rais Andry Rajoelina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.