Mpango wa Uingereza kujiondoa umoja wa Ulaya tarehe 31.10.2019 kama alivyoapa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Borris Johnson umeshindikana hivyo wameomba muda zaidi kwa Umoja wa Ulaya ili waweze...
Limetokea katika eneo la Mindanao Kusini mwa nchi hiyo, licha ya kuua watu hao pia limeharibu miundimindu, mali na nyumba
Eneo hilo lilikumbwa na tetemeko la ukubwa wa 6.3 mwezi Oktoba na...
Watu 18 wameuwawa na mamia ya wengine wamejeruhiwa nchini Iraq katika shambulizi lililofanywa dhidi ya waandamanaji katika Mji Mtakatifu wa madhehebu ya Shia wa Karbala.
Kwa mujibu wa Afisa...
Tume ya uchaguzi ya Msumbiji imemtangaza Rais Filipe Nyusi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais kwa asilimia 73 ya kura na chama chake cha FRELIMO kitakuwa na asilimia 74 ya viti vya Bunge, Chama...
Rais wa Nchi hiyo, Jose Mario Vaz amemtangaza, Faustino Fudut Imbali kuwa Waziri Mkuu mpya wa Taifa hilo. Imbali aliwahi kuwa Waziri Mkuu kuanzia 2000 hadi 2003
Hata hivyo amekumbana na...
In my view, German has a stronger economy than England, but if it comes to war, UK is far better than Germany since UK has fought many wars and won, unlike Germany. Also, English citizens seems to...
Over 40 people are said to have died in the Cameroon landslide on Tuesday.
Reports from the Cameroon Radio Television said the incident occurred at around 9pm in Bafoussam.
“Around 10 p.m. I...
Hotels, lodges and guest houses in Ugandan capital Kampala and neighbouring districts have to disclose details of visitors every day as part of measures to fight urban crime.
Police chief...
Hivi jamani, kwanini Marekani likija suala la kuguswa Wakurdi anakua mkali sana?
Je, kuna ajenda gani kati ya Marekani na Wakurdi?
Juzi Mturuki kaingia kushambulia akatishiwa hadi na vikwazo na...
Vifo vya watu 39 walioswekwa na kusimikwa kwenye trela refregirate vimetingisha vichwa vya habari duniani.
Inasadikika raia hao wanaume 30 na wanawake 9 wengi wao ni wa China na baadhi wa Vietnam...
**UPDATE** Kitu kimepita!
Canada itakuwa nchi ya kwanza katika mataifa ya G7 kuhalalisha bangi kwa matumizi yasiyo ya kimatibabu kwa nchi nzima.
Bangi kwa ajili ya matibabu ambayo inahitaji...
Wadau,
Marekani na mafuta ni sawa na uji na mgonjwa!
Hebu soma kauli ya Trump
''But we're keeping the oil -- remember that. I've always said that: ‘Keep the oil.’ We want to keep the oil...
“The oil is, you know, so valuable, for many reasons,It fueled ISIS, number one. Number two, it helps the Kurds, because it's basically been taken away from the Kurds. They were able to live with...
Mapambano yazuka nchini Syria kati ya vikosi vya serikali ya Syria na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki
Wanajeshi wa Syria wamekabiliana kwa mara ya kwanza na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki...
Toka Baba wa Taifa la Palestina YASSER ARAFAT auawe kwa sumu na waliberali huko Paris, nimekuwa namuona tu huyu Mzee Mahmoud Abbas hakuna uchaguzi wala nn?kwa nn na sisi tusiige kuokoa pesa...
Mfanyakazi wa kampuni ya ndege ya Southwest Airlines amewasilisha kesi mahakamani akiwashutumu marubani wawili kwa kuficha kamera katika choo cha ndege hiyo na kuwachukua picha za moja kwa moja...
Habari!
Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukifuatilia sakata hili kati ya Marekani na Uturuki kuhusiana na mpango wa ndege za kivita za kizazi cha tano za F-35 ambapo Marekani iliiondoa Uturuki katika...
Kwa mujibu wa taarifa, Abu Bakr al Baghdadi ameuawa baada ya Vikosi vya Marekani kufanya shambulio la anga Kaskazini Magharibi mwa Syria
> Hata hivyo uthibitisho rasmi unasubiri kipimo cha...
Shule ya Kikatoliki ya St. Edward jimboni Tennessee imetoa vitabu vya Harry Potter vilivyoandikwa na mwanamama J. K. Rowling baada ya Padri Dan Reehil kusema zinaweza kusababisha msomaji kuita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.