Mahmoud Abbas ni Rais wa Maisha PALESTINA?

Mahmoud Abbas ni Rais wa Maisha PALESTINA?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,405
Reaction score
11,227
Toka Baba wa Taifa la Palestina YASSER ARAFAT auawe kwa sumu na waliberali huko Paris, nimekuwa namuona tu huyu Mzee Mahmoud Abbas hakuna uchaguzi wala nn?kwa nn na sisi tusiige kuokoa pesa?
**Sijazungumzia mambo ya dini hapa hivyo jiepushe kuzungumzia mambo ya dini weka hoja.
 
Nchi kama hizo hadi kusimikwa kuwa Rais ni lazima upitishwe kwenye Tanuri la Moto mkali mithili ya Moto unaotumika kuextract Iron.
Mana kigezo cha kwanza ni kuwa na Msimamo mkali na Maamuzi ya Kijasiri..,
 
Mkuu umetoka kunusu tundu la choo Nini! Maana kwa uzi huu tu inaashiria Kama hujatoka tunduni Basi ulilala kabisa chooni! Tena choo Cha stand!

U can't be serious......!
 
Toka Baba wa Taifa la Palestina auawe kwa sumu na waliberali huko Paris, nimekuwa namuona tu huyu Mzee Mahmoud Abbas hakuna uchaguzi wala nn?kwa nn na sisi tusiige kuokoa pesa?
Tangu lini Palestine ikawa nchi?
 
Nchi kama hizo hadi kusimikwa kuwa Rais ni lazima upitishwe kwenye Tanuri la Moto mkali mithili ya Moto unaotumika kuextract Iron.
Mana kigezo cha kwanza ni kuwa na Msimamo mkali na Maamuzi ya Kijasiri..,
Palestina siyo nchi,ni mamlaka ya ndani tuu.Palestina siyo sovereign state,inadhibitiwa na Israel.
 
Palestina siyo nchi,ni mamlaka ya ndani tuu.Palestina siyo sovereign state,inadhibitiwa na Israel.
Tuseme Palestina ni kama ilivyo Zanzibar? lakini mbona Zanzibar hawana sarafu, hati ya kusafiria wala balozi anaewakilisha Zanzibar nje ya nchi. Yet maamuz makubwa kuwahusu yanaamuliwa nchi jirani "Dodoma"
 
Back
Top Bottom