Who would win if German goes to war with England?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,907
In my view, German has a stronger economy than England, but if it comes to war, UK is far better than Germany since UK has fought many wars and won, unlike Germany. Also, English citizens seems to outweigh the Germans in military bravery. You can add more points or have your own views on ''UK vs Germany''.
 
Hizi mada nyingine sidhani kama ni sahihi sana kuzijadili maana michango mingi humu itakuwa ni ya 'Kishabiki' zaidi.

Anyway! Uingereza (UK) ni nchi yenye uwezo wa kuzalisha silaha za Nyuklia tena kwa kiasi kikubwa tu inazo. Kwa upande wa Ujerumani ina uwezo huo wa kuzalisha silaha za Nyuklia lakini hilo halifanyiki kwa sababu za kimikataba n.k. na ipo katika mpango ule ya 'Nuclear Sharing' yaani silaha za Nyuklia zilizopo Ujerumani ni za 'mgao' kutoka Marekani.

Mpaka hapo tayari mshindi anajulikana kuwa ni Uingereza kutokana na hizi silaha za Nyuklia ilizonazo ambazo zinaweza kutumika kwa ridhaa yake mwenyewe Muingereza tofauti na Mjerumani ambaye silaha zake hususani hizi hatari zaidi za Nyuklia ni za kupewa kutoka mataifa mengine (Marekani).
 
Mh hii ndio mikataba ya kimangungo nilikuwa silijui hili yani Ujerumani huyu huyu anakubali kuwa poyoyo mh.
 
You can't cross the bridge until you reach it. In war there are several factors that can contribute to victory one of which is good planning.

You can have a battle hardened and well drilled army but with a poor plan can definitely be a recipe for the defeat.

Another factor that can be disregarded but of paramount importance is the nature of war you're fighting. If you're fighting an unjust war, chances are that you can win the war temporarily but in the end you can turn out to be the loser.

So, frankly speaking, the conventional war between the two is the one in which no one can predict the winner with certainty and until it is fought victory will hang in balance since either side can prevail.
 
You can't cross the bridge until you reach it. In war there are several factors that can contribute to victory one of which is good planning.

You can have a battle hardened and well drilled army but with it a poor plan can definitely be a recipe for the defeat.

It's true that 'Planning' is one of the major factors contributing to war victory.

Planning is also taken into account in R&D and production of Military needs that can assure you victory during Military confrontations.
 
Mh hii ndio mikataba ya kimangungo nilikuwa silijui hili yani ujerumani huyu huyu anakubali kuwa poyoyo mh
Ujerumani ina Historia ndefu sana na ya hatari nyingi. Haihitaji sana kujiingiza katika migogoro mingine kama hiyo ya Kinyuklia. Same as Japan. Zimejikita zaidi katika masuala ya kiuchumi.
 
Geography Determined Strategy and ultimately winning wars not technology:

When the Germans planned their invasion of France the physical geography determined their lines of approach. When actual fighting took place the physical features became of the greatest strategic importance. The east-facing escarpment in France formed natural defenses of Paris. In the effort of the German army to approach Verdun from the east fully 500,000 men were sacrificed in trying to capture the heights east of that city. The war became a "War of Positions".

The topographic situation of each town was important. The position of the Chemin des Dames was important because of its elevation, so the positions of Vimy Ridge and the Messines Ridge were fought for most bitterly. Each river valley in northern France played a part in determining campaigns. The great strategy of Marshal Foch in the final drives, was laid out with a full knowledge and a full appreciation of the importance of geography.

The German army was crowded back toward the Ardennes, through which there was but one narrow pass, the valley of the Meuse. The retreat of such a vast army through that gorge would be impossible and when the route of transportation east and west was cut the situation for the enemy was desperate. The physical features held them on one side, the army of the Allies on the other. Disaster faced them, and the ratification of the terms of the armistice came with expected promptness.

The war has awakened in the American people an interest in geography, an appreciation of the significance of geographic factors in the control of industrial and commercial life.

Every man interested in large business enterprises should be trained in geography; every man who expects to travel in foreign lands or to enter government service should understand the geography in his own country and that of the world.
Read more : GEOGRAPHY FACTOR IN WAR | News | The Harvard Crimson
 
Professors to Discuss Part Played by Geography in Struggle.
NO WRITER ATTRIBUTED

January 13, 1915

Under the auspices of the Department of Geology and Geography, a series of five public lectures will be given in the geological lecture room, University Museum, on the afternoons stated below, at 4 o'clock. These lectures have been arranged in response to a real interest in the influence which geographic conditions have, or may have, upon the present European War.

In connection with the lectures certain selected maps and charts of special geographic interest will be displayed in the lecture room, which will be open at 3.30 on the days of the lectures. The program of the lectures is as follows:

Monday, January 18.--"The Physical Geography of Central and Western Europe", by Professor William Morris Davis '70, (Illustrated.)

Wednesday, January 20.--"Some Military Features along the Western Front," by Professor Robert M. Johnson.

Monday, January 25.--"European Weather and the War," by Professor Robert DeC. Ward '89.

Wednesday, January 27.--"The Food Supply in Europe," by Professor Thomas N. Carver.
 
Baada ya vita vya pili vya dunia, miji ya Wajerumani ilibaki kama hii picha hapa chini, walishushwa hadi sifuri, wameteseka sana na kuamka upya, hawana hamu ya vita tena, hawataki kuskia hicho kitu, leo hii Ujerumani ndio second largest exporter in the world, hivyo anategemea sana majirani zake kiuchumi, hawezi akazingua.

Ili ufanikishe vita, lazima upate uungwaji mikono na raia wako, wajerumani walitenganisha jeshi na siasa, yaani baada ya ya kuona kitu walifanyiwa na NAZI.

Kwa kifupi, mataifa yote ambayo yamewahi kulemazwa na full scale war na kuamka, huwa hayana hamu tena ya kurudi huko, ni kama leo uwaambie Watanzania wakusanyike tena dhidi ya Uganda kama ilivyokua kwenye vita dhidi ya Idi Amin, ikikumbukwa mpaka leo hawajanyanyuka kabisa kutokana na hasara waliyopata wakati ule. Pia ukumbuke leo hii Tanzania na Uganda wanategemeana pakubwa kibashara, ndivyo ilivyo kwa Uingereza na Ujerumani, kizazi cha leo kinategemeana sana, ni vigumu kuwapiganisha.

main-qimg-5aad674075ed18b0f0ff75313610adbc.webp
 
Baada ya vita vya pili vya dunia, miji ya Wajerumani ilibaki kama hii picha hapa chini, walishushwa hadi sifuri, wameteseka sana na kuamka upya, hawana hamu ya vita tena, hawataki kuskia hicho kitu, leo hii Ujerumani ndio second largest exporter in the world, hivyo anategemea sana majirani zake kiuchumi, hawezi akazingua.
Ili ufanikishe vita, lazima upate uungwaji mikono na raia wako, wajerumani walitenganisha jeshi na siasa, yaani baada ya ya kuona kitu walifanyiwa na NAZI.
Kwa kifupi mataifa yote ambayo yamewahi kulemazwa na full scale war na kuamka, huwa hayana hamu tena ya kurudi huko, ni kama leo uwaambie Watanzania wakusanyike tena dhidi ya Uganda kama ilivyokua kwenye vita dhidi ya Idi Amin, ikikumbukwa mpaka leo hawajanyanyuka kabisa kutokana na hasara waliyopata wakati ule, Pi ukumbuke leo hii Tanzania na Uganda wanategemeana pakubwa kibashara, ndivyo ilivyo kwa Uingereza na Ujerumani, kizazi cha leo kinategemeana sana, ni vigumu kuwapiganisha.

main-qimg-5aad674075ed18b0f0ff75313610adbc.webp
Uzuri risasi na mabomu ya siku hizi yanachagua. Yanapiga kwenye kambi za jeshi au walipo wanajeshi. Raia wanaachwa. Enzi zile za NAZI walikuwa wanalipua kila kilichopo mbele yao. Hadi kuku
 
Uzuri risasi na mabomu ya siku hizi yanachagua. Yanapiga kwenye kambi za jeshi au walipo wanajeshi. Raia wanaachwa. Enzi zile za NAZI walikuwa wanalipua kila kilichopo mbele yao. Hadi kuku

Kuna vita baina ya majeshi, tofautisha na vita baina ya mataifa, kitu kinaitwa declaration of war. Marekani na ubabe wake wa vita kila siku utashangaa kusikia mara yake ya mwisho kufanya declaration of war against a country ilikua 1942, tangu kipindi hicho yeye hutumia "authorization to use military force", ndicho alitumia kwa Iraq.

Kwenye vita baina ya mataifa, huwa hamna kuchagua, ni mwendo wa kupigana mabomu kwa kwenda mbele, unapiga chochote utahisi kitampa nguvu adui yako, piga vituo vya habari, mabwawa ya maji, minara ya mawasiliano, majengo ya bunge, ikulu, madaraja, yaani unalemaza miundo mbinu, piga..piga..pasua

Na pia inategemea uwezo wa adui yako, kwa mfano kama ni unapigana na kataifa hoi, yaani Tanzania dhidi ya Burundi, hapo utachagua wapi pa kupiga, lakini leo hii Marekani apigane na Urusi, pale itakua kitu tunaita Mutually Assured Destruction (MAD), yaani kila mmoja ataachia madude kwenda kwa mwenzake bila kujali kama yatatua New York au Mexico maeneo ya watu, ni mwendo wa kubonyeza yaende tu, na baada ya hapo Mungu atusaidie.
 
Hahaaaa hii war declaration naona ni nzuri zaidi. Yani unapiga tu. Ngoja tumshawishi magu Tz tu-call for war declaration against kenya, uganda na rwanda. Yani tutafanya ile MAD.
 
Ujerman imepigwa burning ya kuendeleza jeshi lake nazani mpaka 2010 kulikua na wanajeshi wa england wanao linda aman
They fear the german spirit coz it usually course trouble to the world
Me binafsi naiheshimu sana ujerman mana hata kwenye historia inaonyesha wakiingia vitani hua wanapigwa kutokana na uchache wao ila madhara wanayosababisha ni makubwa mno
 
Hahaaaa hii war declaration naona ni nzuri zaidi. Yani unapiga tu. Ngoja tumshawishi magu Tz tu-call for war declaration against kenya, uganda na rwanda. Yani tutafanya ile MAD.

Lianzisheni, itakua poa sana tupate fursa na kunyakua kale kamlima ketu ka Kilimanjaro....hehehe
 
You can't cross the bridge until you reach it. In war there are several factors that can contribute to victory one of which is good planning.

You can have a battle hardened and well drilled army but with it a poor plan can definitely be a recipe for the defeat.

Another factor that can be disregarded but of paramount importance is the nature of war you're fighting. If you're fighting an unjust war, chances are that you can win the war temporarily but in the end you can turn out to be the loser.

So, frankly speaking, the conventional war between the two is the one in which no one can predict the winner with certainty and until it is fought victory will hang in balance since either side can prevail.
Very correct sir ..
 
superbug,

Ni kweli haswa ukiangalia swala zima la air power superiority ukumbuke tangu baada ya vita ya pili ya dunia Ujerumani hairuhusiwi kutengeneza ndege za kivita. Na hata zile za abiria inabidi ishirikiane na majirani! Ujerumani si nyuklia power kisilaha! Na hata hairuhusiwi kumiliki manowari aircraft carrier za kivita!
 
Back
Top Bottom