Canada kuhalalisha bangi wiki hii

Canada kuhalalisha bangi wiki hii

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
**UPDATE** Kitu kimepita!
canada.jpg


Canada itakuwa nchi ya kwanza katika mataifa ya G7 kuhalalisha bangi kwa matumizi yasiyo ya kimatibabu kwa nchi nzima.
Bangi kwa ajili ya matibabu ambayo inahitaji kuandikiwa na daktari ni halali Canada kwa kipindi kirefu sasa.

Muswada wa sheria ya kuhalalisha uuzaji na uvutaji wa bangi umepelekwa bungeni na unategemea kupita bila kipingamizi kikubwa. Bangi itauzwa kwenye maduka maalumu kwa kufuata vipimo vya nguvu ya bangi na kiasi unachoruhusiwa kununua.
Sheria hiyo pia itaruhusu watu kupanda bangi majumbani mwao kwa matumizi binafsi.

Biashara ya bangi inategemea kuleta mapato zaidi ya dolla Billion 6.
images (2).jpeg
 
Me naomba tz tupewe kandarasi la kuuza bangi marekani na canada
 
Hawa wameambiww uzinzi ni dhambi ila wanaendelea tu bangi hamna hata sehemu imeandikwa ni dhambi wanaleta mambo yao ya ajabu
Inashangaza sana. Mi nakula km mchicha
 
Back
Top Bottom