Hassan Ghazaly, an Egyptian member of the African Peer Review Mechanism (APRM) Focal Point Committee and Founder of the Global Solidarity Network, formally handed over the outcomes of the 5th...
Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel aliyeuawa na Hamas kuwasili leo kutoka Israel
Maelezo ya picha,Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel ukiagwa nchini Israel kabla ya kurudishwa Tanzania, aliuawa na...
Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
Mnamo Septemba, serikali ya...
Sikutilia manani sana huko Nyuma, kumbe jamaa na mke wake ni watusi pure!!
Sasa ndo naelewa kwanini Muhoozi ana chuki, kiburi na majivuno na kuwatreat waganda vibaya namna ile.
Kwa miaka mingi...
Hivi karibuni, mataifa mawili muhimu kiuchumi barani Afrika – Afrika Kusini na Nigeria – yamekuwa shabaha ya shutuma za rais wa Marekani, Donald Trump, jambo lililozua mjadala mkubwa kimataifa...
Tume ya Kutathmini Uchumi na Usalama wa Marekani na China, iliyoko chini ya Baraza la Mawaziri la Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti ya kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Sekta za Utengenezaji za...
Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya...
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo.
Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na...
Anaadika Peter Hegseth, Waziri wa Vita wa Marekani kupitia ukurasa wake wa X:
"Kuua Wakristo wasio na hatia nchini Nigeria na mahali popote kunapaswa kuisha mara moja.
Idara ya Vita inaandaa...
Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Bangladesh Sheikh Hasina amehukumiwa kifo na mahakama ya Dhaka bila kuwepo mahakamani kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na mandamano makubwa...
Wakuu
Mmeona wenzetu wanavyowajibika? Regardless of whether they were bullied into make the decision lakini inaonesha ni kwa jinsi gani wenzetu wanajali maoni ya wananchi maana backlash ilikuwa...
Sheikh Hasina, waziri mkuu wa zamani wa Bangladesh, amehukumiwa kifo na Mahakama Maalum ya Uhalifu (International Crimes Tribunal) kwa tuhuma za “Uhalifu dhidi ya binadamu” (crimes against...
Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh, Sheikh Hasina aliyepinduliwa na maandamano makubwa yaliyofanyika 2024, amesema anatumai marufuku dhidi ya chama chake itaondolewa kabla ya uchaguzi mkuu wa...
Ni tukio la siku 5 nyuma. Kuna taarifa za malori ya mafuta yaliyoteketezwa yakiwa njiani kuingia Mali baada ya kushambuliwa na makundi ya kigaidi, kama vile JNIM linalohusiana na al-Qaeda, ambayo...
Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi.
Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea...
Wakuu
Nimewaza tu hivi hili gazeti halina wahariri pamoja na cross checkers? Au hawa walikuwa wanawahi wapi to the point wamefanya kosa la wazi kama hili?
========
Gazeti maarufu la...
Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa, amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), chombo kikuu cha kimahakama cha Umoja wa Mataifa.
Uchaguzi huo ulifanyika Jumatano...
Vijana sasa wanakiwasha kila sehemu, hakuna uonevu tena! Huyu waziri amejikuta anafoka hadi mishipa ya mwili mzima imemsimama lakini kamanda mwenye anajibu kwa utulivu hapa uingiii kabisa...
Today, we heard from AFP , which is the one of the respected and reputable news agency in the world that, according to its reliable sources in Tanzania, there are mass graves in Mabwepande and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.