JUBA, Sudan Kusini
SERIKALI ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na serikali ya Sudan Kusini baada ya viongozi wa Sudan Kusini kushindwa kuendeleza mchakato wa amani...
Shirika la kimataifa la misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Sudan Kusini...
Yaseem Munir mwenye miezi 11, amelazwa hospitali katika chumba cha Magonjwa Mahututi baada ya kupatwa na risasi 4 kwenye mapambano ya silaha yaliyozuka yakihusisha wauzaji wa dawa za kulevya...
Ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa ( A380) mapema leo ililazimika kurejea katika Uwanja wa Ndege wa Abidjan nchini Ivory Coast baada ya injini moja kupata hitilifa ikiwa angani, kuelekea Paris...
Tangu Oktoba 01, 2019 Wananchi wa Iraq walianza maandamano ya dhidi ya Wanasiasa wanaoongoza nchi hiyo wakiwashutumu kwa mfumo uliokithiri rushwa na utawala usiokidhi katika kuongoza nchi
Taarifa...
Benki Kuu ya Zimbabwe (RBZ) inazichunguza Benki mbili za CBZ na Ecobank kwa madai ya kuvujisha kiasi cha $ 59,180 ya noti mpya na sarafu kwa wateja wawili.
Picha za maburungutu ya pesa na ndoo...
PALESTINA: Baha Abu Al-Atta amefariki kufuatia shambulio la anga lililotekelezwa na vikosi vya Serikali ya Israeli
Taarifa za awali zinaeleza kuwa licha ya kuuawa kwa Al-Atta katika shambulio...
wa Palestina wajibu mapigo baada ya Israel kumuua shahidi kamanda wa Jihad Islami
Nov 12, 2019 08:07 UTC
Wanamuqawama wa Palestina wametoa jibu kali baada ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni...
HARARE,ZIMBABWE
BENKI za Zimbabwe zimeanza kutoa noti na sarafu mpya zilizotolewa na benki kuu ya nchi hiyo RBZ ili kupunguza ukosefu wa sasa wa pesa taslim.
Watu walitarajia kuanza kupata pesa...
Siku chache baada ya Rais wa Bolivia, Evo Morales kujiuzulu naibu Spika wa Bunge la Seneti la nchi hiyo, Jeanine Anez amejitangaza kuwa kaimu Rais katika kikao cha Bunge ambacho kilikuwa na idadi...
Robert Bayigamba, Waziri wa zamani wa Vijana, Michezo na Utamaduni nchini Rwanda amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Nyarugenge ambapo ameshtakiwa rasmi kwa udanganyifu na kupata mali ya mtu...
Waziri Mkuu wa Kuwait, Shaikh Jaber Mubarak
Waziri Mkuu, Shaikh Jaber Mubarak amewasilisha pendekezo la kuwataka Mawaziri wajiuzulu kwa Mkuu wa Nchi hiyo(Emir), Sheikh Jaber al-Ahmad al-Sabah...
Maelfu ya Wanafunzi wameshikana mikono nje ya majengo ya shule Jijini Hong Kong wakiungana na raia wengine katika maandamano ya kupigania demokrasia
Mgomo huo wa Wanafunzi umepewa jina la 'Mgomo...
Seneta wa Marekani ameshukiwa vikali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutumia 'Kiswahili' kama fumbo la kumaanisha maandishi yasiyoeleweka.
Katika mahojiano ya mmiliki wa Facebook, Mark...
Tawi la kijeshi la Jihadul-Islami lashambulia mkusanyiko wa askari wa utawala wa Kizayuni
Nov 13, 2019 08:09 UTC
Wanamuqawama wa tawi la Al-Quds la Harakati ya Jihadul-Islami la Palestina...
Ethiopia inajenga bwawa kubwa linalojulikana kama Renaissance, ujenzi huo unatarajiwa kumalizika mwakani
Bwawa kubwa la 'Renaissance' ni kivutio kikubwa nchini Ethiopia
Bwawa hilo linalojengwa...
Waandamanaji mjini Hong Kong wamesababisha kuvurugika kwa mtandao wa usafiri mjini humo kwa siku ya pili mfululizo leo wakati mataifa ya magharibi yameeleza wasi wasi wao kuhusiana na machafuko...
Key Pillars of Rwanda’s Exponential Economic Growth
Loading Image
By Reuben Omanyala
Nov. 12, 2019, 9:59 p.m.
Rwanda, East Africa’s smallest country, is ranked among the fastest-growing...
Imeripotiwa kuwepo mvutano wa kimadaraka kati ya Rais Muhammadu Buhari na Makamu wa Rais, ambapo licha ya Rais kwenda Uingereza kwa ziara binafsi ya siku 15, hajakabidhi madaraka kwa msaidizi...
Wahuni eti ma-generals vita ya myaka hiyooo! Siyo ya sasa teknologia tupu! Yani kuku-trace ukiwa huko porini mimi nikiwa chumbani kwangu. Waasi wa M7 wamekwisha, ana-support waasi kui-destabilize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.