International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Makeshia 30 wa Mamlaka ya Taifa ya Usimamizi wa Bararbara nchini Zimbabwe (Zinara) wametimuliwa kazi kwa wizi. Hili limekuja baada ya mamlaka kugundua udanganyifu katika mageti ya kulipia...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Ikiwa Namibia inaelekea katika Uchaguzi Mkuu tarehe 27 Novemba mwaka huu, vyama vya upinzani nchini humo vimeeleza dhamira ya kuipunguza nguvu na wingi wa uwakilishi wa chama cha SWAPO bungeni...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Chama cha Kisoshalisti cha Waziri mkuu, Pedro Sanchez kimeshinda katika uchaguzi mkuu wa kitaifa wa Hispania jana. Katika uchaguzi huo wa pili katika muda wa chini ya miezi saba, chama hicho cha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Polisi wa Afrika Kusini wamewakamata wahamiaji haramu 300 mjini Johannesburg. Polisi wamesema kikosi mseto kiliwakamata wahamiaji hao kwenye jengo lenye ghorofa 21 lililovamiwa katika eneo la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Duduzane Zuma, mtoto wa Rais wa zamani, Jacob Zuma ameshitakiwa kwa makosa ya rushwa katika Mahakama ya biashara mjini Johannesburg. Duduzane Zuma(34) anadaiwa kuwa sehemu ya waliojaribu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakongwe..! Nilishawahi kuangalia series fulani ya Wamarekani, kwenye hiyo series kuna askari mmoja ambaye alikuwa ni Pilot wa ndege zisizokuwa na rubani ndani yake (Drones), kuna...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11) Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Panya wamekua tishio katika Jiji la Paris, kuharibu ofisi za umma na nyaraka muhimu. Kupqmbana na hali hiyo serikali ya Ufaransa imeamua kuajiri paka ili kupambana na genge la panya waharibifu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva, ambaye anazuiliwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu kwa makosa ya rushwa, hivi karibuni anaweza kuachiliwa huru baada ya uamuzi wa Mahakama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiangalia miji yote yenye population kubwa ya African Americas ina uhalifu Mkubwa sana. Mfano mji kama Washington DC ambao una federal security headquarters zote kwenye metropolitan yake, lakini...
6 Reactions
81 Replies
8K Views
NOVEMBA 9, 2019 Raisi wa Rwanda Paul Kagame amejibu shutuma kuwa amekuwa akiwapeleleza wapinzani wake kupitia simu zao, amesema teknolojia inayohitajika kufanya hivyo ni ghali sana. Akizungumza...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Taasisi ya Independent High Commission for Human Rights of Iraq(IHCHR) iliyotolewa jana, takriban watu 301 wameuawa na wengine 15,000 wamejeruhiwa tangu kuanza kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyama vitatu vya siasa nchini Uingereza vimetangaza makubaliano ya kushirikiana ili kupata wanachama zaidi katika bunge ambao wanaunga mkono Uingereza kubakia katika Umoja wa Ulaya. Vyama hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa wale wote wanaoshambulia, kuteka nyara au kukamata nje ya kinyume cha sheria watakabiliwa na mashitaka. Waziri huyo anaongeza kuwa, uwepo wa Vyama vya Siasa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali...
24 Reactions
45 Replies
5K Views
Kiongozi wa zamani wa waasi wa Congo amehukimiwa kifungo cha miaka 30 jela la Mahakama ya Kimataifa ya jinai kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu . Waoiiganaji waliomtii...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nchi ya Burkina Faso imeanza maombolezo ya siku 3 ya kitaifa, baada ya kuuawa kwa raia 38 katika shambulio la kushtukiza lililotekelezwa na wanajihadi wa kiislamu kaskazini mwa nchi hiyo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
The fascinating outcome of democracy in some selected countries depict that countries with more democracy tend to want less of it. Conversely, countries with less want more of it. See the...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Mlipuko uliotokea ardhini katika machimbo ya madini huko Teutschenthal katikati ya nchi hiyo, umejeruhi watu wawili na kusababisha wengine 30 kukwama ardhini Uokoaji unaendelea huku ikielezwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaji wa jimbo la New York ameamuru Rais Donald Trump azirudishe dola milioni mbili alizozichukua kwa matumizi yanayotajwa na mahakama kuwa ni kinyume cha sheria. Fedha hizo ni kutoka mfuko wa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom