Ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa ( A380) jana ililazimika kurejea Uwanja wa Ndege wa Abidjan nchini Ivory Coast baada ya injini moja kufeli

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,477
2,000
Ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa ( A380) mapema leo ililazimika kurejea katika Uwanja wa Ndege wa Abidjan nchini Ivory Coast baada ya injini moja kupata hitilifa ikiwa angani, kuelekea Paris, Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria zaidi ya 500 wakati ikianza safari.
IMG_20190311_141638.jpg

ABIDJAN, Ivory Coast: A mid-flight engine failure forced an Air France A380 jet with more than 500 passengers on board to turn back to the Ivory Coast capital Abidjan where it landed without further incident early Sunday (Mar 10).
"We were flying over Niger (to Paris)... I saw a ball of flame for a few seconds and then a large bang on the left side of the aircraft," Baudelaire Mieu, a journalist with Bloomberg News, told AFP.

"The plane began to roll, everything was shaking and people started to panic. The pilot came on and said, 'We have just lost a left side engine. We are returning to Abidjan'," Mieu said.
The Air France-KLM manager for West Africa Jean-Luc Mevellec confirmed the incident.
"Technically, it is what is called an engine blow-out. It is a well-known problem," Mevellec told AFP.
"It happens from time to time. It is a well-known phenomenon, well-understood and crew are well-trained on simulators all year long to deal with this type of fault," he added.
 

abdi ally

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
1,568
2,000
Ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa ( A380) mapema leo ililazimika kurejea katika Uwanja wa Ndege wa Abidjan nchini Ivory Coast baada ya injini moja kupata hitilifa ikiwa angani, kuelekea Paris, Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria zaidi ya 500 wakati ikianza safari.
View attachment 1043095


Swahili Times on Twitter
SITI YA MBELE SUBIRI SASA UONE INGEKUWA TZ NCHI NZIMA NI AIRTANZANIA MBOVU,HAIFAI,TUMEIBIWA HAPO HUTOSIKIA WALE WA KELELE WAKO KIMYA KAMA HAWAFUATILII HABARI
 

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,202
2,000
Kabisa maana Leo dunia nzima takriban ndege 5000 zimeruka, na ajali hazifiki 10

Kuanzia jumatatu mpaka leo ndege zimeruka zaid ya takriban 50,000 lakin ajali ni chini ya 5
Ili iruke lazima ikidhi viwango vya usalama vya ICAO, wakati Ili Zuberi iende mwanza inabidi ikidhi viwango vya traffic na wale jamaa wa Vehicle. hawabanwi na kiwango chochote wala hakuna hatua yoyote ya kidunia itakayochukuliwa Bus au Boti ikizama. mnamaliza nyienyie locally tu.
 

Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,405
2,000
Kama sikosei kuna mahali nilisoma kuwa februari na machi sio miezi mizuri sana kwa usafiri wa anga, japo nimesahau sababu hasa za hali ya hewa...
 

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,477
2,000
Kama sikosei kuna mahali nilisoma kuwa februari na machi sio miezi mizuri sana kwa usafiri wa anga, japo nimesahau sababu hasa za hali ya hewa...
Mchambuzi wa safari za ndege aliyeko Jakarta Gerry Soejatman ameiambia BBC kuwa ''injini ya 737 Max iko mbele kidogo na juu kiasi na usawa wa mbawa zake ,ikilinganishwa na muundo wa awali wa ndege za Boeing . Hilo linaathiri mizani ya ndege''

Kamati ya usalama wa safari za taifa nchini Indonesia imebainisha kuwa safari za ndege za Lion Air 610 zilikuwa na hitilafu iliyotokana na moja ya kifaa kilichotengenezwa kwa ajili ya kumpatia rubani isharawakati ndege inapokuwa katika hatari ya kuanguka.

Uchunguzi kuhusu hitilafu hizo bado haujafikia matokeo ya mwisho juu ya chanzo cha mkasa.

Kifaa cha kubaini ajali na kazi ya programu ya software inayoendesha kazi hiyo inafanya kazi tofauti na ile ya miundo ya awali ya Boieng 737, lakini marubabi hawakuwa wameambiwa hivo.

katika kipindi cha siku chache baada ya ajali ya Lion Air, watengenezaji wa ndege ya Boeing walitoa muongozo wa namna ndege zinavyopaswa kuendeshwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom