International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ripoti ya uchunguzi inayolenga kumshitaki Rais Donald Trump wa Marekani, itawasilishwa leo kwa faragha mbele ya wabunge muhimu wakati wabunge wa chama cha Democratic wakizidi kuongeza shinikizo...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Kuna hali ya sintofahamu kati ya nchi hizi 2 jirani na ndugu baada ya Burundi kushutumu mara kwa mara kuwa wanachokozwa kwa kuvamiwa na Rwanda. Na hiyo imetokea baada tukio la juzi la kambi ya...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Watu 24 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya basi huko nchini Tunisia. Basi hilo limedondokea katika bonde karibu na mto. Taarifa ya Wizara ya Utalii nchini Tunisia imeeleza kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
China imesitisha ziara ya manowari ya Marekani na kuiwekea vikwazo asasi moja ya Kimarekani, ikiwa ni hatua ya kulipa kisasi kutokana na kusainiwa kwa muswada unaowaunga mkono waandamanaji...
1 Reactions
2 Replies
943 Views
Watu takriban 14 wameuwawa baada ya shambulio la wazi ndani ya kanisa nchini Burkina Faso. Waathirika wa shambulio hilo walikuwa wamehudhuria ibada katika kanisa la Hantoukoura, mashariki mwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikiwa Ufaransa leo inatoa heshima kwa walinda amani wake 13 waliopoteza maisha nchini Mali juma lililopita, nchi hiyo imejikuta kwenye simanzi nyingi kubwa baada ya kupoteza raia wake watatu...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Jeshi la DRC latangaza kulitimua kundi la waasi kutoka Rwanda Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza kulitimua kundi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda kutoka katika ngome yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Trump akaidi kushiriki katika kikao cha uchunguzi dhidi yake Wakili wa rais Donald Trump wa Marekani amesema Ikulu ya White House haitashiriki katika kikao cha uchunguzi bungeni Jumatano ijayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! Uganda na Rwanda ziko mbioni zaidi ya mataifa mengine ya Afrika Mashariki katika mabadiliko ya kiteknolojia kuelekea magari yatumiayo nishati ya umeme ingawa mapungufu ya miundombinu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tiba ya sindano badala ya vidonge vya kila siku kwa wagonjwa wa ukimwi nchini Rwanda yameshika kasi na sasa iko katika awamu ya mwisho. Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kwamba mnamo miaka...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Korti ya Afrika Kusini Ijumaa ilitupilia mbali maombi ya Rais wa zamani Jacob Zuma kwa kukata rufaa ya uamuzi wa mapema wa korti wa kumstaki. Mahakama kuu ya Pietermaritzburg katika Mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Urusi yuko pekee na NATO ni Ulaya plus USA na Canada ila Urusi anabakia kiwa tishio mno kwa NATO yote. 1. Nyambizi - Inaaminiwa Urusi ndo kiongozi wa nyambizi, linapokuja suala la Submarine...
7 Reactions
65 Replies
12K Views
Watu 9 wakiwemo watoto 2 wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika jimbo la Dakota ya kusini nchini Marekani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya Marekani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Akizuru kambi ya kikosi cha jeshi la wanaanga la Marekani huko Bagram, Rais wa Marekani Donald Trump amekutana naRais wa Afghanistan Ashraf Ghani na kula chakula cha jioni na askari wa Marekani...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali mpya ya Sri Lanka inakusudia kutupilia mbali mpango wa kuikodishia China Bandari ya Hambantota kwa miaka 99, kutokana makubaliano kutokuwa na maslahi kwa taifa. Serikali iliyopita...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Makao makuu ya EU Brussels The EU is ‘’Institutionally racist’’ and only lets black people in to clean the toilets, a Brexit party MEP claimed. ….. …… ……. Mathew Patten, who was elected...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Natumai mungali bukheri wa afya. Niende kwenye mada. Ikiwa imesalia miezi kadhaa tu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu nchini Burundi, nchi ambayo inakosolewa na jumuiya ya...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wairaq waendeleza maandamano mjini Baghdad na Nassiriya Raia nchini Iraq wameendelea na maandamano kwenye mji mkuu Baghdad na eneo la kusini ya nchi hiyo ikiwa ni ishara ya kutoridhishwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya mpito nchi Sudan imekifutilia mbali Chama cha NCP kilichokuwa kikiongozwa na dikteta Omar Al Bashir, ikiwa ni katika juhudi za kuleta amani ya kweli nchini humo, lengo ni kuondoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…