LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,157
- 1,681
Kuna hali ya sintofahamu kati ya nchi hizi 2 jirani na ndugu baada ya Burundi kushutumu mara kwa mara kuwa wanachokozwa kwa kuvamiwa na Rwanda.
Na hiyo imetokea baada tukio la juzi la kambi ya jeshi la Burundi iliyoko mpakani na Rwanda kuvamiwa na askari wanaosemekana ni wa RDF na kuwaua Warundi na kusababisha uhalifu vifo, upotevu wa mali nk.
Jana kupitia Msemaji wa serikali ya Burundi aliorodhesha matukio ya kivamizi wanayofanyiwa na Rwanda akasema kua wanao ushahidi na wameshapeleka swala hili Umoja wa Afrika EAC n.k na hakuna hatua zinachukuliwa mpaka sasa hivyo amesema serikali yake imejipanga na iko tayari kutoa kipigo dhidi ya tukio lolote la kichokozi kutoka Rwanda.
Upande wa Rwanda kupitia Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje alikanusha taarifa hizo na kusema wako tayari kwa kulinda nchi yao. Ikumbukwe kuwa Burundi imeweka askari katika mipaka kati ya nchi hizo 2 wapatao elfu 4.
Swali langu: Je, Kagame amepata nafasi ambayo amekuwa akiitamani pale aliposema anatamani siku 1 Burundi ijichanganye kuwasaidia waasi apate nafasi kuiadhibu Burundi?