Shambulio la kigaidi Burkina Faso limeua watu wapatao 14

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,149
2,000
Watu takriban 14 wameuwawa baada ya shambulio la wazi ndani ya kanisa nchini Burkina Faso.

Waathirika wa shambulio hilo walikuwa wamehudhuria ibada katika kanisa la Hantoukoura, mashariki mwa nchi hiyo siku ya jumapili.
Watu waliokuwa wanafyatua risasi hizo bado hawajafahamika na hata lengo lao bado halijawekwa wazi.

Mamia ya watu wameuwawa katika taifa hilo katika miaka ya hivi karibuni zaidi na kundi la kigaidi la jihadist, kutokana na mvutano wa kikabila na kidini haswa katika mpaka wa Mali.

Taarifa kutoka serikalini zinasema kuwa watu wengi wamejeruhiwa.

Idara ya usalama imeitaarifu chombo cha habari cha AFP kuwa watu wenye silaha ndio wamefanya shambulio hilo, "wameteketeza waamini wakiwa pamoja na wachungaji na watoto".1575261101439.png

PIA SOMA:
Waathirika wa shambulio hilo walikuwa wamehudhuria ibada katika Kanisa la Hantoukoura, Mashariki mwa nchi hiyo siku ya jumapili ambapo watu wenye silaha waliwafyatulia risasi waumini

Mamia ya watu wameuawa katika Taifa hilo katika miaka ya hivi karibuni na kundi la kigaidi la Jihadist, kutokana na mvutano wa kikabila na kidini haswa katika mpaka wa Mali

Taarifa kutoka Serikalini zinasema kuwa watu wengi wamejeruhiwa katika shambulio hilo la jana ila idadi kamili haijatolewa
======================================

The president of the West African nation of Burkina Faso has confirmed that 14 people were killed in an attack on a Protestant church in the country's east.

Going on Twitter, President Roch Marc Christian Kabore said Sunday that he condemned "the barbaric attack" in the town of Hantoukoura. He said several people also were wounded.

Kabore offered his "deepest condolences to the bereaved families and wish a speedy recovery to the wounded."
Islamic extremists have been active in Burkina Faso since 2015. Jihadists have attacked police stations and churches across the country's north but also recently have struck in the east.

In October, gunmen generally believed to be Islamic extremists attacked a convoy carrying employees of a mining company in that region, killing at least 37 people.
 
Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,091

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
16,497
2,000
... wauwaji ni lazima watakuwa wa dini ile! Hili halina ubishi wala halihitaji utafiti sijui uchunguzi! Ni wale wale mashetani katika kivuli cha dini yetu!
 
Northern empire

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
358
500
Nikweli yani Ile dini ambayo viongozi wake wanawalawiti walemavu watoto ndio itakuwa imefanya ivyo tuu
 
Northern empire

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
358
500
... wauwaji ni lazima watakuwa wa dini ile! Hili halina ubishi wala halihitaji utafiti sijui uchunguzi! Ni wale wale mashetani katika kivuli cha dini yetu!
Nikweli yani Ile dini ambayo viongozi wake wanawalawiti walemavu watoto ndio itakuwa imefanya ivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom