The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,123
Ikiwa Ufaransa leo inatoa heshima kwa walinda amani wake 13 waliopoteza maisha nchini Mali juma lililopita, nchi hiyo imejikuta kwenye simanzi nyingi kubwa baada ya kupoteza raia wake watatu waliokuwa wakifanya uokoaji katika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko.
Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Ufaransa imesema waokoaji watatu wa dharura wamefariki katika ajali ya helikopta karibu na mji wa Marseille wakati wakiwa katika shughuli za uokoaji katika mji huo uliokumbwa na mafuriko.
Chanzo cha ajali hiyo kumeelezwa kuwa ni helikopta waliyokuwa wakifanyia uokoaji aina ya EC145 kupoteza mawasiliano. Miili yao ilipatikana majira ya saa 7 usiku karibu na mji wa Rove.
======================
Three emergency workers were killed in a helicopter crash near Marseille while on a rescue mission in flood-hit southern France, the interior ministry said Monday.
Their EC145 helicopter lost radio and radar contact while on a rescue and reconnaissance flight in the Var region Sunday night. The three were found dead at 1:30 am near the town of Rove, Interior Minister Christophe Castaner and his secretary of state Laurent Nunez said in a statement.
An investigation was under way to determine the circumstances of the crash.
"While France is preparing today to pay tribute to 13 of its soldiers who died serving it (in Mali), our country is losing three everyday heroes who gave their lives to protect the French," Castaner and Nunez said.
Two people were killed on Sunday by floods in the French Riviera, which has been hit by fresh torrential rains a week after extreme weather left six dead.