International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Watu 208 wameuawa nchini Iran tangu vikosi vya usalama vilipoanza kuwashambulia waandamanaji walioibuka baada ya bei ya mafuta kupanda. Katika taarifa yake, shirika la Amnesty International...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tory Ojeda is in a polyamorous relationship with four men and they are all happy about it.The 20-year-old realised she was pregnant about seven months agoShe believes to have conceived when they...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari kutoka Zimbabwe ni kuwa Rais wa zamani marehemu Robert Mugabe, ameacha fedha benki kiasi cha dollar za Marekani milioni 10 bila wosia. Pia ameacha mashamba mbalimbali likiwemo lile la miti...
8 Reactions
51 Replies
6K Views
Jeshi la polisi nchini Japan linamshikilia mzee mwenye umri wa miaka 71 kwa kuipigia simu kampuni moja mara 24,000 kupitia namba ya bure, akiilalamikia kuwa imekiuka mkataba kati yao. Mwanaume...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
At least 62 people, including children, were killed after a boat carrying dozens of migrants capsized in the Atlantic Ocean off the West African nation of Mauritania, the UN's migration agency...
1 Reactions
1 Replies
689 Views
Umoja wa Kimataifa (UN) waeleza kuwa Karibu watu 280 wamefariki na wengine zaidi ya milioni 2.8 walioathiriwa na mvua nzito na mafuriko katika ukanda wa Afrika mashariki. Ofisi ya UN ya Uratibu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Bunge la Marekani limepitisha muswada ili kupambana na vile wanavyovisema kuwa ni vikwazo visivyo na mantiki, mateso na unyanyasaji kwa waislamu wa jamii ya Uighur nchini China. Imelenga vile...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa (UN),Antonio Guterres, alisema siku ya Jumanne kuwa kuna umuhimu kuwajumuisha watu walio na ulemavu katika ajenda ya maendeleo ulimwenguni. Akizingumza wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Naona France, Germany na UK wameamua rasmi kujitua mzigo wa Iran. Iran sasa ajiandae mkao wa Kula. Iran 'developing nuclear-capable missiles' Iranian forces put a Shahab-3 missile on display...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bunge la Liberia laitishwa kwa dharura Rais George Weah wa Liberia amewaomba Wabunge wa Bunge la nchi hiyo kukatisha likizo yao na kukutana kwa dharura kujadili mambo muhimu yanayolihusu Taifa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Korea Kaskazini itatuma zawadi ya Krismasi kwa Marekani angawa zawadi hiyo itategemea matokeo ya mazungumzo kati ya nchi hizo mbili. Maneno hayo yametafsiriwa na baadhi ya watu kuwa ni dalili ya...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Takriban magaidi 20 na askari watatu waliuawa katika shambulizi mbili dhidi ya vituo vya jeshi huko Burkina Faso, jeshi la nchi hiyo lilisema hapa katika taarifa ya Jumanne. Mashambulio hayo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu watatu wa sheria nchini Marekani, wameiambia kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la Wawakilishi mjini Washington kuwa wanaamini kwa ukamilifu kuwa Rais Donald Trump alifanya matendo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi wa jumuia ya kujihami yenye nguvu zaidi ulimwenguni, NATO waliozozana kuhusu masuala ya kibinafsi na ya kisera jana, wamekamilisha mkutano wao wa kilele na kutangaza taarifa ya pamoja...
1 Reactions
1 Replies
680 Views
Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa...
1 Reactions
1 Replies
782 Views
A Federal High Court sitting in Lagos has ordered the siezure of an aircraft belonging to Emirates Airline over N8.1 million judgment debt. The order was sequel to a motion filed by Dr Charles...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Andy Carter, senior winners' adviser at The National Lottery, said: 'One very lucky UK ticket-holder has scooped tonight's entire £40 million EuroMillions jackpot. Self-employed Steve Thomson 42...
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Mfano mtu anaamua kabisa kwenda public kwamba anatangaza vita dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani na lengo lake ni kuiondoa (Serikali) Madarakani kwa nguvu, hayo ni mapinduzi, je Serikali haina...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu 6 wamepoteza maisha yao na wengine zaida ya 150,000 wameathirika kutokana na mvua nzito nchini Sri Lanka, kituo kinachosimamia maswala ya maafa nchini humo (DMC) kiliripoti leo (Jumatano) ...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyambizi za Jeshi la Wanamaji la Iran zasheheniwa makombora ya cruise ya Jask-2 yaliyotengezwa nchini Dec 01, 2019 03:06 UTC [https://media] Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Jamhuri...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom