Sababu ya kifo cha Fred Rwigema na Habyarimana

Unaamaanisha Emmanuel Gisa alias Kamanda Fred. Inshort Aliuwawa wiki ya kwanza vitani. Aliuwawa na makamanda wenzie wa RPA kwa ugomvi uliotokana na kutikubaliana na principle za vita hiyo.

Yeye alitaka wasitumie civilian kama ngao yao wakati makamanda wenziwe walipinga mawazo yake.

Kamanda Fred alikuwa mtu social sana hakuwa brutal kama makamanda wengine wa RPA. Baada ya kifo chake october 1990 RPA ilisambaratika.
 
The brains behind ya vifyo vyote viwili anajulikana/wanajulikana - Stori nyingi kuhusu kifo cha Fred kwa mfano zina lengo la kuzuga watu - aliuwawa kwa kudunguliwa na a telescopic sighted sniper rifle - muuaji alikuwa anajua ujio wa Fred in advance akajificha kwenye Kilima akamlenge na kufyatua risasi, haya mambo ya kusema aliuwawa kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe hayana ukweli wowote.

Yeye alikuwa ameteuliwa na M7 kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi huko Texas Marekani kama nakumbuka vizuri, lakini Fred akashauri mafunzo hayo aende Kagame - sasa aijulikani kama Kagame alikwenda mafunzoni kwa shingo upande au la - lakini hile kasi ya yeye kukatisha mafunzo ya kijeshi na kurudi mbio mbio baada ya kifo cha Fred speaks VOLUME.

Sio siri kuna baadhi ya Watutsi kwenye jeshi la RPF walikuwa wanakerwa na Fred kutokana na yeye kuwa so popular vile vile na tacticts zake za kutumia njia za kistaarabu kufikia malengo ya kuingia madarakani huko Rwanda, kama Fred ndiye angeongoza mapigano wala mambo ya genocide yasingitokea nchini Rwanda, lakini baadhi ya wapinzani wa Fred ambao ni Watutsi wenzake utawasikia wakimzulia mambo chungu mzima Fred eti he was indecisive, immature and what have you! Uongo mtupu.

Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya Watutsi walikuwa determined from the word go kwamba Fred asiwe kiongozi mkuu nchini Rwanda ndio maana walikatisha ahai wake too soon.
 
Naunga mkono hoja, Fred aliuliwa kwa mipango ya PK, reason, tofauti za approach to ushindi, Fred alipendelea kumaliza vita kwa mazungumzo ili finally wawe na serikali ya mseto, hardliner PK et al hawakutaka, so wakamzawadia kifo
 
1468356545woman-peacekeeper.jpg

Rwanda Defence Forces UN peacekeepers return from a UN mission. / File.
 
Fred Rwigyema aliuwaa kwa sababu ya msuguano wa ndani, wengine walisema kuwa walipofika karibu kuchukua nchi wanasiasa na baadhi ya wakuu wa RPF hawakuweza kukubaliana nani aiongoze nchi.
Mkumbuke Rais Paul Kagame alikuwa ni kiongozi mkuu wa Jeshi Uganda, kwa uhakika sidhani kama alikuwa awe ndio Rais wa Rwanda. Vile vile mkumbuke kuwa hawa RPF wengi wao walikuwa katika jeshi la Uganda, waliiba magari ya kijeshi silaha na vifaa vya mawasiliano, wakati huo Rais M7 alikua ananusa mpango huo...Kagame alikuwa mkuu wa mashushu jeshini Uganda hivyo basi, uko uwezekano alimdanganya M7 kuwa mpango kama huo haupo.

Mtakumbuka Rais M7, na Rais P. Kagame hawakuiva baada ya sakata hilo mpaka hapo baadae, kwani M7 hakupenda jinsi walivyomlaghai.
Waliomuua Fred Rwigyema nao waliona cha mtema kuni, walizimwa! Kulikuwa kunahitajika mtu ambaye ataye unda Jeshi anayeheshimiwa na jeshi na vilevile kuongoza Wananchi .Paul fit the Bill

PK hakuhusika kumngoa Fred Rwigyema, labda kuteketeza wale waliohusika na mauaji yake.
 
Naunga mkono hoja, Fred aliuliwa kwa mipango ya PK, reason, tofauti za approach to ushindi, Fred alipendelea kumaliza vita kwa mazungumzo ili finally wawe na serikali ya mseto, hardliner PK et al hawakutaka, so wakamzawadia kifo
So sad
 
Kuuawa kwa Gisa Rwigyema hakueleweki hadi leo lakini mi naamini moja ya sababu hizi inaweza kuwa ndio hasa;

1. Msuguano wa ndani.
Ni kweli kabisa kuwa kulikuwa na mkinzano wa namna ya kufikia malengo. Rwigyema alipendelea kufikia malengo kwa kutumia njia ambazo zisingeweza kugharimu maisha ya watu wa kawaida na ikibidi kupoteza askari wachache iwezekanavyo. Msimamo huu pia ulipendelea kuona Rwanda moja yenye shared power na kuwakusanya na kuwarudisha Wanyarwanda wote kwao.

Ndani ya RPF walikuwapo hardliners ni vema kusema Kagame hakuwa key figure enzi hizo hasa mbele ya makamanda wakuu wa RPF enzi hizo. Hapa inaaminika makamanda hawa walikuwa na hasira za kutupwa nje ya nchi hivyo hawakutaka kabisa kushare power na walipendelea vita kama njia kuu ya kufikia malengo. Hawa wanaaminika ndio waliomuondoa RWIGYEMA.

Pili ipo dhana ya kuwa aliuawa na wanajeshi wa Uganda. Itakumbukwa kulikuwa na msuguano jeshini Uganda na malalamiko ya Wanyarwanda kuoccupy key positions huku Waganda wakiachwa nje. Malalamiko haya ndio hasa yaliyopelekea vuguvugu la RPF kutaka kurudi Rwanda kwa kuwa they had no where to go. Rwigyema alikuwa centre ya malalamiko hayo kutokana na kuaminika yeye ndie alikuwa architect wa kuwajaza Wanyarwanda wenzie jeshini Uganda na pia walikuwa wanatumia resources za Uganda kwa manufaa ya RPF. Kundi hili nalo pia lilikuwa na adhma ya kumuondoa Rwigyema.

Tatu ni Rwigyema kuuawa in action. Hii ndio popular theory. Wakati Rwigyema anauwa alikuwa front line vitani wakipigana dhidi ya majeshi ya serikali ya Rwanda. Hapa inaaminika sniper alikuwa militia wa majeshi ya serikali ili kuwatawanya RPF. Hili linawezekana ikizingatia ukweli kwamba kabla ya Kagame kurudi RPF ilikuwa imeanza kuparanganyika.

Sababu hizo tatu hutajwa sana japo sababu ya kwanza ina nguvu zaidi.
 
Ukitaka kujua nani alimuua Rwigyema kwanza fatilia mtililiko WA mambo baada ya kifo chake mfano.

1. RPA hawakifichua kifo chake ndani ya simu 7 tangu afe. M7 alipata tetesi bila uhakika ndipo akatuma battalion ya jeshi ikiongizwa na mdogoye M7 be Salim.
Hapo unajifunza kama ilikua kauwawa na jeshi la serikali kwanini makamanda WA RPa walishindwa kusema kwa M7.
2. Jiulize kwanini makamanda wote WA RPA walihukumiwa kifo na UPDF Amina Bayigana.

3.Mbona RPF ilikataa order za PDF wakati whereabouts ya Fred ikiwa haijulikani.

PIA Kagame Ni kumuonea ukimuunganisha na kifo cha Fred. At a time Kagame alikua mtu WA chini Sana kwenye ranks za RPA.

Kwanza Kagame hakua boss WA UPDF military intelligence kama inavyosemwa Bali alikua senior officer.
 
Naunga mkono hoja, Fred aliuliwa kwa mipango ya PK, reason, tofauti za approach to ushindi, Fred alipendelea kumaliza vita kwa mazungumzo ili finally wawe na serikali ya mseto, hardliner PK et al hawakutaka, so wakamzawadia kifo
Wee tumbili ulijuaje wakati wewe na interahamwe wenzako mlikuwa busy kuiba na kufanya genocide

Wakati Kagame alikuwa busy kukomboa Rwanda ,wewe na interahamwe wenzako mlikuwa busy kuua watutsi,the good thing wewe na tumbili wenzako ambao mmezagaa bongo mkijiita wanyamwezi or whatever mnaishi kwa wasiwasi kila siku maana mko wanted for the next 100yrs like NAZIs ambao kesi zao bado ziko active,piga kelele tuu they are coming to get you
 
Ulifikiri dunia haijui, pole yako, anyway, aliyetekeleza mauaji ya Rwigema alishughulikiwa vilivyo na vijana wa mseven, hilo nalo unadhani dunia haijui? Pole zenu
 
Koba, pitia hapa upate uhondo

nyabheraJF-Expert Member
#15
Tuesday at 8:01 PM

Ukitaka kujua nani alimuua Rwigyema kwanza fatilia mtililiko WA mambo baada ya kifo chake mfano.

1. RPA hawakifichua kifo chake ndani ya simu 7 tangu afe. M7 alipata tetesi bila uhakika ndipo akatuma battalion ya jeshiikiongizwa na mdogoye M7 be Salim.
Hapo unajifunza kama ilikua kauwawa na jeshi la serikali kwanini makamanda WA RPa walishindwa kusema kwa M7.
2. Jiulize kwanini makamanda wote WA RPA walihukumiwa kifo na UPDF Amina Bayigana.

3.Mbona RPF ilikataa order za PDF wakati whereabouts ya Fred ikiwa haijulikani.

PIA Kagame Ni kumuonea ukimuunganisha na kifo cha Fred. At a time Kagame alikua mtu WA chini Sana kwenye ranks za RPA.

Kwanza Kagame hakua boss WA UPDF military intelligence kama inavyosemwa Bali alikua senior officer.
 
K
Naunga mkono hoja, Fred aliuliwa kwa mipango ya PK, reason, tofauti za approach to ushindi, Fred alipendelea kumaliza vita kwa mazungumzo ili finally wawe na serikali ya mseto, hardliner PK et al hawakutaka, so wakamzawadia kifo
Kagame alifahamu kua Fred ndye alikua kaandaliwa kuongoza Rwanda
 
Back
Top Bottom