International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran amesema shambulio lolote dhidi ya nchi yake, kufuatia hujuma dhidi ya miundombinu ya mafuta ya Saudi Arabia litasababisha vita kamili na kuongeza mvutano...
3 Reactions
175 Replies
15K Views
Aged 22yrs, a 400 level theartre art student of LAGOS STATE University (LASU) was gruesomely murdered on the 8th of December 2019 at Ikoyi Ile in Ikire,Osun State. She came home to see her...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Kabla hujaimba au kuimbiwa mapambio hebu sikiliza hapa kwanza. Itakusaidia kwenye shughuli zako za kila siku.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hongera sana Rwanda, kainchi kadogo kiasi cha mkoa lakini kanaskika na kutikisa... Raisi wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa nchi yake inaweza kuisaidia Afrika bila masharti ambayo...
1 Reactions
165 Replies
17K Views
KAULI YA HAKI YA MESUT OZIL KWA UKANDAMIZAJI WA WAISLAMU WA CHINA Kauli ya mchezaji Mesut Ozil kuhusu dhulma ya China kwa Waislamu wa Urghurs imedhihirisha haya: 1. Ukafiri ni mila moja, hii ni...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wakuu Nchi za Afrika zinazotarijiwa kufanya uchaguzi mwaka 2020 ni nyingi kama tunavyoziona, na changamoto kubwa ni haki katika chaguzi zetu sisi Waafrika ambapo mara nyingi hupelekea hali...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Serikali ya Ukraine na waasi wanaotaka kujitenga mashariki mwa nchi ambao wanaoungwa mkono na Urusi wameanza kubadilishana wafungwa hii leo. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Rais wa Urusi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais mstaafu wa Pakistani, Pervez Musharraf (76) amehukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa iliyohusisha kuweko kwa dharura ya Kikatiba mnamo 2007. Hukumu hiyo imetolewa leo wakati kiongozi...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kwa mara nyingine amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.Hatua ambayo imeonekana kuwashangaza raia wengi wa Burundi huku...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Uingereza inaajiri sana sasa hivi, kada ya afya ni wote, kuanzia Doctors, pharmacists, laboratory technicians, nurses, auxiliary nurses n.k. Kada nyingine ni IT na hospitality. Hospitali nyingi...
19 Reactions
33 Replies
4K Views
Bomu hilo lililokuwa limetegwa kwenye gari, limelipuka wakati gari hiyo ikiwa kwenye Kituo cha Ukaguzi cha Polisi Mmoja wa Maafisa wa Polisi, Kapteni Mohamed Hussein amesema kuwa shambulio hilo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wapatao 21 wamepoteza maisha na wengine 22 kujeruhiwa kutokana na ajali za barabara nchini Zambia katika kipindi cha Krismasi mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wa naibu wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Profesa wa Chuo kikuu huko Pakistan Junaid Hafeez amehumiwa kifo kwa kukufuru. Profesa huyo anadaiwa aliandika kwenye mtandao wa kijamii maneno ambayo yaliusema vibaya Uislam. Sent using Jamii...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Graduating with a degree is not enough to succeed in the real world as students have to develop other soft skills that are also important for the journey outside the school walls. One of these...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Bunge la India limepitisha muswada ambao unaruhusu kutoa uraia wa India kwa wahamiaji kutoka nchi tatu za jirani - lakini sivyo ikiwa ni Waislamu. Muswada huo unalenga kuwezesha utoaji wa uraia...
4 Reactions
511 Replies
39K Views
Warren Buffet is one of the richest men in the world and also the most prolific investor of this era. He has personally confessed that he spends most of his time reading books and this is where...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais Donald Trump amesaini Ijumaa sheria inayoruhusu kuundwa kwa kituo cha kijeshi cha angani na kuwapa wafanyakazi wa serikali kuu wiki 12 za likizo ya uzazi kwa wazazi wote wawili. Baraza la...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Maandamano yaliyosaidia kuibadilisha nchi ya Sudan mwezi Aprili mwaka 2019 Serikali ya Sudan imeruhusu siku ya Krismasi kuadhimishwa nchini humo na kuwa siku ya mapumziko kwa mara ya kwanza, baada...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Shannon Lee ameishtaki Kampuni ya Vyakula iliyotumia sure ya Baba yake kwenye matangazo yao ya biashara bila ya kukubaliana na familia ya Bruce Lee Kampuni ya 'Kungfu Catering' imeshtakiwa kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…