Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Uingereza inaajiri sana sasa hivi, kada ya afya ni wote, kuanzia Doctors, pharmacists, laboratory technicians, nurses, auxiliary nurses n.k.
Kada nyingine ni IT na hospitality.
Hospitali nyingi zinahitaji watu ziko huko mikoani, usiwe na mawazo ya kuishi London, huko Glasgow, Liverpool, Newcastle; sehemu kama hizo hospitali zinaajiri zenyewe.
Baada ya kuwa na qualifications ambazo mara nyingi ni first degree, unahitaji kuwa na unfailing wa mtihani wa Kiingereza.
Kuna mtihani unaitwa Occupational English Test (OET).
Ukifaulu huu visa wana-process wenyewe.
Kwa nchi za SADC wanafanya OET South Africa. Ni ni rahisi ku pass OET kuliko ICTL ya British Council.
Vijana changamkieni ajira.