PAKISTAN: Profesa wa Chuo Kikuu ahukumiwa kifo kwa kukufuru

Ukishakuwa msomi unagundua kuwa dini ni ustaarabu fulani wenye upuuzi mwingi. Kama Mungu ana malaika wake kibao, kachukizwa na mtu aliyemkashifu si angeamua mwenyewe kutekeleza azma yake. Sasa unaua binadamu mwenzio kisa dini, kwahiyo Mungu anatumia majaji binadamu kutoa hukumu. Basi hiyo hukumu ya mwisho kutakuwa na upendeleo

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Mungu wa kikristo anajipigania mwenyewe yaani haitaji kutetewa na wanadamu sababu yeye ni muweza wa yote lakini Allah anapiganiwa yaani anatetewa na wanadamu.

Wewe mtukane Mungu, Yesu Kristo, choma Biblia au useme vibaya ukristo hakuna mtu atakayeshughulika na wewe Kwa sababu Mungu ndiye anayehukumu kwahiyo wakristo hawana uwezo wa kuhukumu mtu yoyote ila tunakuombea kwa Mungu akusamehe na uweze kutenda yanayompendeza Mungu.

Lakini Waislam Allah anatetewa na wanadam kwahiyo ukiusema vibaya uislamu, ukichoma Quran, ukimtukana Muhamad au ujitoe kwenye Uislam wanadamu watakuhukumu na adhabu yako itakuwa ni kifo tena kama upo kwenye nchi za kiislamu haipiti masaa 2 ushatangaziwa kifo.
 
Quran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao

9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu

47;4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu

9;5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.

9;29. Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu.

Aya: - "Nyinyi (Waislam wa kweli) ndio watu bora kabisa waliowahi kati ya wanadamu." inamaanisha, watu bora zaidi kwa watu, kwani unawaleta na minyororo kwenye shingo zao wale wasio amini hadi wataukubali Uislamu.
Mbona Waislam India wanaabudu Allah ila waabudu ng'ombe wanawatesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel atawachapa sana kwa mipango hii! na hawatafurukuta! Notorious Slave traders!. na Jerusalemu haitoachiwa ile !

Damu ya Professor itawalilia mpaka uvunguni hawatakaa salama, subirini!

Isa bin Mariamu akija hawatamjua watadhani ni muarabu, wataendelea kusubiri wakati sisi tukinyakuliwa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mungu wa kikristo anajipigania mwenyewe yaani haitaji kutetewa na wanadamu sababu yeye ni muweza wa yote lakini Allah anapiganiwa yaani anatetewa na wanadamu.

Wewe mtukane Mungu, Yesu Kristo, choma Biblia au useme vibaya ukristo hakuna mtu atakayeshughulika na wewe Kwa sababu Mungu ndiye anayehukumu kwahiyo wakristo hawana uwezo wa kuhukumu mtu yoyote ila tunakuombea kwa Mungu akusamehe na uweze kutenda yanayompendeza Mungu.

Lakini Waislam Allah anatetewa na wanadam kwahiyo ukiusema vibaya uislamu, ukichoma Quran, ukimtukana Muhamad au ujitoe kwenye Uislam wanadamu watakuhukumu na adhabu yako itakuwa ni kifo tena kama upo kwenye nchi za kiislamu haipiti masaa 2 ushatangaziwa kifo.
Upo Sahihi hatuhitaji mtu ahukumiwe kifo sababu ya kuusema vibaya ukristo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI nani kati yenu ataporwa saa yake ya dhahabu, kisha amuambie mwizi sikufukuzi, nakuombea kwa Mungu akusamehe tu?!!!
TAFAKARI saa na imani yako kipi bora kwako?!!!
 
Huyu profesa uchwara ametumwa na mabeberu ili akashifu na kutukana dini ya MUNGU. Yaani bora wangemchinja kabisa hazarani ili iwe fundisho kwa ngurue wengine wenye akili finyu kama zake. Mbavu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom