Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Kabla hujaimba au kuimbiwa mapambio hebu sikiliza hapa kwanza. Itakusaidia kwenye shughuli zako za kila siku.
Woooow FACTS only..true growth comes when you mix Confidence with HumilityKabla hujaimba au kuimbiwa mapambio hebu sikiliza hapa kwanza. Itakusaidia kwenye shughuli zako za kila siku.
View attachment 1305219
Woooow FACTS only..true growth comes when you mix Confidence with Humility
africa ukikosoa viongozi utakufa asee
Ahh kwa Africa hii ni kuwaacha tuLadyRed, I appreciate what you have written here. Ila naomba ukumbuke jambo hili: huna guarantee kuwa hata usipokosoa utakuwa salama. Ila naomba pia ujue kuna guarantee kuwa tusipofanya kitu leo mimi na wewe wajukuu (kama si watoto wetu) hawatakuwa salama.