International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

ndege ya kwanza aina ya antonov An-124 yaondoka Nchini Urusi ikielekea kwenye Nchi ya Marekani kwa ajili ya msaada wa vifaa vya kupambana na ugojwa wa corona. Msaada huu unakuja baada ya...
15 Reactions
68 Replies
9K Views
Wizara ya ulinzi nchini Urusi imesema leo kuwa nchi hiyo itatuma ndege 11 za kijeshi zilizobeba vifaa vya tiba nchini Serbia kusaidia kukabiliana na mripuko wa virusi vya corona. Mikhail...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilikuwa jana 2/4/2020 ambapo zilizuka taarifa za maambukizi ya Covid19 kwenye meli vita ya kubeba ndege ya jeshi la Marekani USS Theodore Roosevelt iliyoko Pacific. Taarifa hizi zilitolewa na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Dunia yapita kwenye majaribio makubwa, majaribio mazito-janga la corona. Kupitia janga hili tumeshuhudia na twaendelea kushuhudia maelfu ya watu, wakiwemo matajiri, watu wenye mamlaka za juu...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Wakivamia kanisa, wanaanza kwa kuwasomea maandiko yanayowapa uwezo wa kuzuia mikusanyiko...haswa kifungo kinachoamuru Mkristo kutii utawala. Police officers in Nigeria have resorted to a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Spain na Uholanzi wamerudisha China vifaa vya kupambana na Corona virus Kama vile testing equipment , face mask na magauni ya kujikinga , Vifaa hivi vimerudishwa sababu viko chini ya viwango vya...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Kiongozi wa National health institute ISS (Italy) amebainisha kuwa namba ya vifo inayoripotiwa ina uwezekano mkubwa wa kutokuwa inahakisi hali halisi ya kile kinachotekea Italy. Vifo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Inaelezwa kuwa Mfalme wa Thailand amechukua hoteli ya kifahari nchini Ujerumani ili kujitenga ikiwa ni hatua za kujikinga na virusi vya Corona, huku akiwa na wanawake 20. Mfalme huyo, Maha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kirusi kinazidi kutamba, na hawa milioni moja ni wale wamepimwa na kupatikana nacho, ila walio mtaani wanaambukiza bila hata kujua wanacho ni wengi mno. Coronavirus cases hit ONE MILLION...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Shenzhen yawa mji wa kwanza kupiga marufuku kula paka na mbwa Haki miliki ya picha: GETTY IMAGES Shenzhen umekuwa mji wa kwanza wa Uchina kupiga marufuku ulaji wa kitoweo cha nyama za mbwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Whether it's a matter of faulty detection, climatic factors or simple fluke, the remarkably low rate of coronavirus infection in African countries, with their fragile health systems, continues to...
4 Reactions
137 Replies
20K Views
Rais Kagame ameongeza wiki mbili nyingine za kujifungia ndani kama hatua za kukabiliana na Corona. Hatua hii inakuja baada ya lockdown ya mwanzo kushindwa kuonesha matunda yaliyotarajiwa. Kuhusu...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetenga yuro bilioni 21.3 zitakazotumika kuzisaidia familia na biashara zilizoathirika na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona hapa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama Sweden dunia ya kwannza hawajaweka lock down, na shule hawajafunga, sisi shule tumefunga, Africa haitakuwa na vifo kama ilivyo Ulaya na Marekani, tupo aseee mtakuja niambia Sent using Jamii...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Urusi imepeleka meli za kivita 17 huko syria baada ya kugundua maandalizi ya kivita yanayofanywa na jeshi la Marekani. Marekani imepeleka manowari yake katika bahari ya mediteranian yenye cruise...
5 Reactions
74 Replies
12K Views
Miongo miwili ulingoni, Putin na mkakati wa kubakia madarakani. NA MOHAMMED ABDULRAHMAN Jina la Vladimir Putin ni maarufu sana miongoni mwa viongozi wa dunia kama lilivyo la Donald Trump...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
A six-week-old baby has died from the coronavirus in Connecticut, the state governor confirmed. Governor Ned Lamont said the newborn died from complications that came from the novel virus, making...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Belarus bado wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi kama kawaida ,Rais wao Alexander Lukashenko akihojiwa alisema kazi ziendelee huko mashambani kwani kazi ni kinga dhidi ya corona. Pia watu...
5 Reactions
77 Replies
12K Views
The number of coronavirus deaths in the UK has risen to 1,808 in the biggest day-on-day increase so far. It’s a jump of 393 from Monday’s death toll of 1,415. The previous highest increase was...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
The economy of the world and the way money is valued, is one of the biggest scams of the universe. Money and wealth are naturally backed by mineral resources, land, and basically physical...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom