Sweden haijaweka lock down ,heko Tanzania

Kama Sweden dunia ya kwannza hawajaweka lock down ,na shule hawajafunga ,sis shule tumefunga ,Africa haitakuwa na vifo kama ilivyo ulaya na marekani ,tupo aseee mtakuja niambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli

Screenshot_20200402-191739_Chrome.jpg
 
Hizi nyuzi tutazitumia kama reference ya upumbavu wa wa tz wiki 2 zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli huu ni upumbavu. Nashangaa sana nchi yangu na viongozi wake kuwa wabishi na kuendelea na shughuli kama kawaida. Watu hawana cha kusema kwakua tu hofu ya kuongea imetanda, lakini watu wengi wanaugulia maumivu kwa kuwaza yajayo. Namba inayotangazwa ni ndogo tu kwakua upimaji wenyew siyo jadi yetu
 
Ningeshauri Pia air Tanzania ingefanya kazi kuzunguka dunia nzima ndio wakati wa fursa na kujitangaza kimataifa,kampuni zote za ndege zimegoma kasoro ethiopia wapo mzigoni na wapendasha bei maradufu
 
Kweli huu ni upumbavu. Nashangaa sana nchi yangu na viongozi wake kuwa wabishi na kuendelea na shughuli kama kawaida. Watu hawana cha kusema kwakua tu hofu ya kuongea imetanda, lakini watu wengi wanaugulia maumivu kwa kuwaza yajayo. Namba inayotangazwa ni ndogo tu kwakua upimaji wenyew siyo jadi yetu
Kaa jifungue na familia yako kama unasubiri kutangaziwa ita kula kwako , tuachen sisi tutafute mkate kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unahamu ya lockdown kaombe pale segerea sidhani Kama watakataa kukupatia hifadhi.
Sio kila kifanywacho na mwalimu ujifunze, sometimes huwa wanachapia
#mtoa uzi uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom