Coronavirus: UK death toll rises by 393 to 1,808 in biggest daily increase

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
The number of coronavirus deaths in the UK has risen to 1,808 in the biggest day-on-day increase so far.

It’s a jump of 393 from Monday’s death toll of 1,415. The previous highest increase was 260 on Saturday.

According to figures issued on Tuesday by each country’s health authority, a further 367 people died in England, with 13 in Scotland, seven in Wales and six in Northern Ireland.

Overall, there have been 1,651 deaths in England, 69 in Wales, 60 in Scotland and 28 in Northern Ireland.

In England, those confirmed to have died on Tuesday were all in hospital and their ages ranged from 19 to 98.

All but 28 of the 367 patients had underlying health conditions. The 28 who did not were aged between 19 and 91.

The latest death toll came as Number 10 hinted Boris Johnson is frustrated by the slow progress on testing as it urged NHS trusts to use spare tests on staff.

Fewer than 10,000 tests per day are being carried out, according to the latest figures from Public Health England, despite health secretary Matt Hancock saying a target of 10,000 per day had been hit.

Asked whether Johnson was frustrated, the prime minister’s spokesman said: “It’s absolutely an important issue and the PM and ministers want as much progress to be made on this as possible.

“We’ve been very clear that where there is additional capacity in the system that should be being used for NHS workers.”

Meanwhile, millions of items of personal protective equipment (PPE) were delivered to NHS trusts on Monday, with the army helping to ensure supplies reach frontline workers.

The spokesman said: “Yesterday’s deliveries of PPE included more than 2.5 million aprons, 870,000 eye protectors, 218,000 respiratory masks, one million surgical masks and 11 million gloves.

“The full weight of government is behind the PPE efforts, with PPE being sent out 24 hours a day and the army helping with deliveries.

“There have been occasional issues with deliveries being received out of hours by NHS trusts but this is what we are working on to address and resolve.”
 
Jana tu hawa watu walisema namba ya kesi mpya imeshuka kumbe katika kesi zilizokuwepo wagonjwa karibu 800 wamekufa katika masaa 24 yaliyopita.
 
Ila Mungu atusaidie Tz sisi masikini kwa siku tuna test watu 50 tu kwahiyo wenye nao wanaendelea kusambaza wenzetu wana test watu 10,000 kwa siku wanajitahidi kudhibiti wagonjwa ili kupunguza mambukizi mapya sisi tutakufa tu we need Devine intervention nothing else we can do when our turn comes........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoshauri ukiweza kununua kilo mbili za maharage nunua weka, unachoweza kuhifadhi ndani hifadhi. Toka nje kukiwa na umuhimu na kumbuka kuvaa mask, nawa mikono na kunywa glass ya maji ya limao kabla huja lala.
 
Tangu saa 10 alfajiri mpaka sasa watu karibu 3000 wamepoteza maisha duniani kote kwa corona.vifo tangu corona ianze tunatafuta 41000 na ushee usiku huu.hali mbaya kwakweli.
 
Ninachoshauri ukiweza kununua kilo mbili za maharage nunua weka, unachoweza kuhifadhi ndani hifadhi. Toka nje kukiwa na umuhimu na kumbuka kuvaa mask, nawa mikono na kunywa glass ya maji ya limao kabla huja lala.
Hahaha Dada Maji ya limao yanatibu nini?! Kutokutoka au kunogesha usingizi?
 
Nisichokielewa ni kwamba, Nchi kama Marekani ,Uingereza , Italy hawakuwa na testing Kits, yani vipimo vya kupimia wakati gonjwa hili lilipoanza kuenea. Marekani walinunua kit 1000,000,000 na zilipelekwa huko kwa ndege kutoka Ufaransa.
Ujerumani pia wamesema wamenunua huko huko ufaransa.
Sisi Tanzania tulianza kupima soon ugonjwa ulipo lipuka, SISI TESTING KITS TULIZITOA WAPI?
 
Chato bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chato bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia mpaka sasa testing kits huko nchi zilizoendelea hakuna, na wanauziana chache chach, na kwa kupunguza matumizi yasiyoyalazima wanaopimwa ni wale tu walioonyesha dalili zote za ugonjwa, na wameacha kupima watu kiholela, ili kudhibiti matumizi ya testing kits hasa wakati huu, Maana kuna watu wanataka kupimwa tu ili kujua kama wameambukizwa au la, hawaumwi wala hawana dalili.

Nimesikia huko Bungeni Dodoma wakiomba wabunge wote wapimwe, hili haliwezekani, kuanza kupima tu bila sababu wakati testing kits ni haba na nahisi sisi tumepewa na "donor countre" chache. Wapimwe wagonjwa tu na wale walioonyesha dalili za ugonjwa.

Hili la UHABA WA TESTING KITS nchi zilizoendelea limenifanya nijiulize, sisi hapa kwetu TUMEZITOA WAPI?

Nafahamu China wantujali sana, labda tumepata kutoka china kama sehemu ya msaada kwenye sector ya afya, sijui.
 
Back
Top Bottom