Je, dunia ina sababu ya kumchukia Mchina?

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,543
Shenzhen yawa mji wa kwanza kupiga marufuku kula paka na mbwa

A cat waiting to be adopted looks out of its cage at the Royal Society for the Prevention of Cruelty to Animals (RSPCA)

Haki miliki ya picha: GETTY IMAGES
Shenzhen umekuwa mji wa kwanza wa Uchina kupiga marufuku ulaji wa kitoweo cha nyama za mbwa na paka.
Hii inakuja baada ya mlipuko wa virusi vya corona kuhusishwa na ulaji wa wanyamapori, jabo lililowafanya maafisa wa Uchina kupiga marufuku biashara na ulaji wa wanyama hao.

Shenzhen ilichukua hatua zaidi, kwa kuweka marufuku ya ulaji wa mbwa na paka. Sheria hiyo itaanza kutekelezwa kuanzia tarehe 1 Mei.

Mbwa milioni thelathini huuawa kote katika bara la Asia kwa ajili ya nyama, linasema shirika la kutetea haki za wanyama, Humane Society International (HSI).

Hata hivyo, ulaji wa nyama ya mbwa nchini Uchina si wa kawaida sana-wengi wa Wachina hawajawahi kufanya hivyo na wanasema hawataki kufanya hivyo.

"Mbwa na paka kama wanyama wa nyumbani wameweza kuwa na uhusiano wa karibuu sana na binadamu kuliko wanyama wengine wote, na kupiga marufuku ulaji wa nyama za mbwa na paka na wanyama wengine wa nyumbani ni jambo la kawida katika mataifa yaliyoendelea na kama miji ya Hong Kong na Taiwan," ilisema serikali ya jiji la Shenzhen kwa mujibu wa taarifa ya shirika la habari la Reuters.

"Marufuku hii pia inaitika mahitaji na moyo wa kistaarabu wa ubinadamu.''

Shirika HSI limepongeza hatua hiyo.
"Haya kusema ukweli ni mafanikio makubwa katika juhudi za kumaliza ukatili huu ambao unakadiriwa kuwauwa mbwa milioni 10 na paka milioni 4 nchini Uchina kila mwaka," alisema Dkt. Peter Li, mtaalamu wa sera katika kampuni ya Uchina ya HSI.

Hata hivyo wakati huo huo wakati hukumu hii inatolewa, Uchina imeidhinisha matumizi ya nyongo ya dubu katika kuwatibu wagonjwa wa coronavirus.

Nyongo ya dubu - ambayo ni kimiminika kinachosaidia kusaga chakula huchukuliwa kutoka kwa dubu ambao ni hai - imekua ikitumika kwa muda mrefu nchini Uchina kama dawa ya kienyeji.

Nyongo hiyo ambayo ina tindikali ya ursodeoxycholic , hutumiwa kuyeyusha mawe yanayojitengeneza katika kibofu cha mkojo na kutibu ugonjwa wa maini . Lakini hakuna uthibitisho kuwa ina ufanisi dhidi coronavirus na mchakato wa kuitoa huwasababishia machungu sana wanyama hao.

Brian Daly, msemaji wa wakfu wa Animals Asia Foundation, aliliambia shirika la habari la AFP kuwa: "Hatupaswi kuwa tunategemea bidhaa za wanyama kama nyongo ya dubu kama suluhu ya kukabiliana na virusi vinavyoua ambavyo vinaonekana kuwa asili yake ni wanyamapori."

Soko la wanyamapori

Covered market in Shenzhen

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionPicha ya maktaba ya soko la nyama Uchina
Mwezi Februari, mamlaka za Uchina zilipiga marufuku biashara na ulaji wa wanyama wa pori. Hatua hiyo ilichukulia baada ya kubainika kuwa soko la Wuhan linalouza wanyama wa porini na nyama za wanyamapori huenda kilikua ndio kitovu cha mlipuko wa virusi vipya vya corona, na kutoa njia ya virusi kusafiri kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu.

Taarifa hizi ziliifanya serikali ya Uchina kufunga biashara hizo na masoko yanayouza bidhaa za aina hiyo. Kwa sasa kunakaribu wagonjwa milioni moja walioothibitishwa kuwa na virusi vya corona kote duniani, na zaidi ya vifo 47,000, kwa mujibu wa hesabu za Chuo kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani.

Nchini Uchina pekee, kuna wagonjwa 81,589 na vifo 3,318. Wanasayansi na watafiti bado hawajaweza kutambua chanzo hasa cha mlipuko huo wa virusi na kwa namna gani viliwafikia wanadamu.

Visa
Vifo
Marekani
235,905
5,632
Italia
115,242
13,915
Uhispania
110,238
10,096
Ujerumani
84,600
1,097
Uchina
82,432
3,322
France
59,105
4,503
Iran
50,468
3,160
Uingereza
33,718
2,921
Uswizi
18,827
536
Uturuki
18,135
356
Belgium
15,348
1,011
Netherlands
14,697
1,339
Austria
11,108
158
Canada
10,182
128
Korea Kusini
9,976
169
Ureno
9,034
209
Brazil
7,910
299
Israel
6,857
34
Sweden
5,568
308
Norway
5,136
50
Australia
5,116
24
Ireland
3,849
98
Jamuhuri ya Czech
3,805
44
Urusi
3,548
30
Chile
3,404
18
Denmark
3,386
123
Ecuador
3,163
120
Malaysia
3,116
50
Romania
2,738
114
Poland
2,692
51
Ufilipino
2,633
107
India
2,536
72
Japan
2,510
70
Luxembourg
2,487
30
Kashmir inayotawaliwa na Pakistan
2,386
33
Saudi Arabia
1,885
21
Thailand
1,875
15
Indonesia
1,790
170
Ugiriki
1,544
53
Finland
1,518
19
Afrika Kusini
1,462
5
Peru
1,414
47
Jamuhuri ya Dominica
1,380
60
Mexico
1,378
37
Iceland
1,319
4
Panama
1,317
32
Serbia
1,171
31
Colombia
1,161
19
Argentina
1,133
34
Singapore
1,049
4
Milki za Kiarabu
1,024
8
Croatia
1,011
7
Algeria
986
86
Qatar
949
3
Slovenia
897
17
Ukrain
897
22
Estonia
858
11
Misri
850
52
New Zealand
797
1
Iraq
772
54
Mili ya Diamond Princess
712
11
Morocco
691
44
Armenia
663
5
Lithuania
649
9
Bahrain
643
4
Hungary
585
21
Bosnia na Herzegovina
532
16
Moldova
505
6
Lebanon
494
16
Latvia
458
Bulgeria
457
10
Tunisia
455
14
Kazakhstan
435
3
Andorra
428
15
Slovakia
426
1
Azerbaijan
400
5
Costa Rica
396
2
Macedonia Kaskazini
384
11
Cyprus
356
10
Uruguay
350
4
Kuwait
342
Taipei ya China
339
5
Puerto Rico
316
12
Kisiwa cha Reunion
308
Belarus
304
4
Jordan
299
5
Burkina Faso
288
16
Cameroon
284
7
lbania
277
16
Afghanistan
273
6
San Marino
245
30
Cuba
233
6
Oman
231
1
Vietnam
227
Honduras
219
14
Uzbekistan
205
2
Ghana
204
5
Malta
196
Senegal
195
1
Cote d'voire
190
1
Nigeria
184
2
Visiwa vya Faroe
177
Mauritius
169
7
Maeneo ya Wapalestina
160
1
Sri Lanka
151
4
Montenegro
144
2
Venezuela
144
3
Martinique
138
3
Georgia
134
Brunei Darussalam
133
1
Guadeloupe
128
6
Kosovo
125
1
Bolivia
123
8
Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo
123
11
Kyrgystan
116
Mayotte
116
1
Cambodia
110
Kenya
110
3
Guernsey
97
1
Jersey
96
2
Isle of Man
95
1
Trinidad and Tobago
90
5
Gibraltar
88
Rwanda
84
Guam
82
3
Paraguay
77
3
Liechtenstein
75
Niger
74
5
Aruba
60
Monaco
60
1
Madagascar
59
Bangaldesha
56
6
Guinea
52
Guiana ya Ufaransa
51
Guatemala
47
1
Uganda
45
Barbados
45
Jamaica
44
3
El Salvador
41
2
Djibouti
40
Togo
39
2
Zambia
39
1
Polynesia ya Ufaransa
37
Mali
36
3
Bermuda
32
Visiwa vya Virgin vya Marekani
30
Ethiopia
29
Eritrea
22
Visiwa vya Cayman
22
1
Saint Martin (Eneo la Ufaransa)
22
1
Congo
22
2
Bahamas
21
1
Tanzania
20
1
Myanmar
20
1
Guyana
19
4
Maldivers
19
New Caledonia
18
Gabon
18
1
Syria
16
2
Netherlands Antilles
16
1
Haiti
16
Equitorial Guinea
15
Mongolia
14
Namibia
14
Benin
13
Saint Lucia
13
Dominica
12
Netherlands Antilles
11
1
Ushelisheli
10
Mozambique
10
Jamuhuri ya kidemokraia ya watu wa Lao
10
Suriname
10
Greenland
10
Libya
10
Grenada
10
Eswatini
9
Guinea_Bissau
9
Antigua na Barbuda
9
Mili ya MS Zaandam
9
2
Zimbabwe
8
1
Angola
8
2
Sudan
8
2
Saint Kitts na Vevis
8
Chad
7
Fiji
7
Mauritania
6
1
Visiwa vya Kaskazini vya Mariana
6
1
Nepal
6
Liberia
6
Cape Verde
6
1
Vatican
6
Saint Barthélemy
6
Turks nad Visiwa vya Caicos
5
Nicaragua
5
1
Somalia
5
Bhutan
5
Montserrat
5
Gambia
4
1
Botswana
4
1
Belize
3
Burundi
3
Visiwa vya Virgin vya Uingereza
3
Malawi
3
Jamuhuri ya Afrika ya Kati
3
Anguilla
3
Sierra Leone
2
St St Vincent na Gradines
2
Timor_Leste
1
Papua News Guinea
1


1585888340349.png

Dawa za antiretrivirals zinatumika kutibu covid-19 na yamefanikiwa ktika kutibu hali kama hizo
 
World wide umeshafika.. hakuna nchi ambayo haupo huu ni zaidi ya ukimwi.
 
Mbona Wahehe wa Iringa wanakula mbwa na hawajawahi kuleta CORONA. Tukubari kuwa virus vimetengenezwa for their purpose
 
Tumchukie Kwakosa Gani Hasa Alilolifanya

Chuki Zawamagharibi Zisiwatie Viburi

Kwanza kama sisi waafrika ubavu wakumchukia ndio hatuna kabisaaa


XI JINPING MAKE CHINA GREAT

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom