International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Barua ya Israel kwa Umoja wa Mataifa; hofu na kiwewe cha kulipizwa kisasi na Hizbullah Israel imeuomba Umoja wa Mataifa ufanye usuluhishi kwa kuhofia Hizbullah ya Lebanon isije ikalipiza kisasi...
10 Reactions
121 Replies
12K Views
Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Zimbabwe inakubali kulipa fidia ya dola bilioni 3.5 kwa wakulima weupe Zimbabwe ilikubali Jumatano kulipa $ bilioni 3.5 kwa fidia kwa wazungu weupe ambao ardhi yao ilifutwa na serikali kuweka...
5 Reactions
104 Replies
8K Views
Muswada huo uliosubiriwa sana kudhibitisha mwisho wa faru wa CFA ulipitishwa Jumatano na Baraza la Mawaziri la Ufaransa. Hii ilifunuliwa na msemaji wa serikali ya Ufaransa, Sibeth Ndiaye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
North Korea has wanted to make these powerful bombs, that can cause devastating damage, for a long time. Fortunately for them, they have succeeded and their leader is not the type of person that...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina. China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos, ameamuwa kuihama nchi yake katika uamuzi wa aina yake unaolenga kuunusuru ufalme baada ya mkururo wa tuhuma za ufisadi dhidi yake na wakati waendesha...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Zimbabwean President is giving away#Zimbabweto the same colonial settlers who stole it. Compensating Criminals who violently stole Zimbabwe natural resources, Minerals and Land from Indigenous...
-1 Reactions
32 Replies
3K Views
Msemaji wa gavana wa mkoa wa Nangarhar nchini Afghanistan anasema zaidi ya wafungwa 300 bado hawajulikani walipo baada ya shambulizi la kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu katika gereza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Update: Multiple Rockets/Mortars were fired from Syria towards Israel causing damage to a civilian car and house in Madjal Shams from what I can tell, this doesn't appear to be an ATGM. Israel...
3 Reactions
75 Replies
8K Views
Mkuu wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict XVI, anaripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani mwezi Juni na sasa hali yake ni dhaifu sana...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Ajabu na kweli pana watu wanakereka mno waonapo tunaandika kuasa na kukumbusha ili kwamba maisha ya watu yakiwamo na yao, yaweze kulindwa. Watu hawa...
11 Reactions
34 Replies
6K Views
Rais wa Brazil Jair Bolsonaro yuko nchini Marekani kwa ziara ya siku mbili. Ziara hiyo inaakisi mabadiliko ya nchi yake kuegemea sana upande wa msimamo wa Marekani. Akiwa MArekani, Rais Bolsonaro...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Rais Donald Trump ametangaza kuwa ndani ya siku 45 zijazo atazuia mitandao ya kijamii ya TikTok na WeChat inayomilikiwa na wachina kama isipouzwa kwa wamarekani ndani ya siku 45 zijazo Trump...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huge foreign loans are given to sovereign nations by the World Bank, IMF and the likes. But the conditions that come attached to these loans are seldom told by governments to their citizens. A...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani. Inaonekana kuwa Marekani...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Watu wapatao 50 wameuawa kwenye maandamano yanayofanyika katika mkoa wa Oromiya nchini Ethiopia baada ya kuuawa mwanamuziki maarufu nchini humo. Wakati huo huo mwanasiasa wa upinzani Jawar Mohamed...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
ADDIS ABABA (Reuters) - Ethiopia has started filling the Grand Renaissance dam, a giant hydroelectric project it is building on the Blue Nile, its water minister said on Wednesday, a day after...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Mwezi uliopita Trump alitangaza kua ataipiga marufuku TikTok na mitandao mingine ya kichina nchini Marekani kwa tuhuma kua inatumika na serikali ya China kuiba data. Leo Trump ametangaza kua...
6 Reactions
146 Replies
12K Views
Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil. Balozi wa Marekani nchini...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom