Syria yaanza kujibu mashambulizi ya Israel leo

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,568
Update: Multiple Rockets/Mortars were fired from Syria towards Israel causing damage to a civilian car and house in Madjal Shams from what I can tell, this doesn't appear to be an ATGM. Israel wanasema yameharibu baadhi ya majengo na magari

Subir tuutizame huu mtanange

===

An explosion along the Syrian-Israeli border on Friday caused damage to a building and a car in the Golan Heights town of Majdal Shams.

The Israeli army said a mortar or a rocket was fired from the Syrian side of the border, adding it was looking into the incident.

A Syrian source told Lebanese network Al Mayadeen that Syrian air defenses responded to a target, probably an Israeli drone, in the nearby Quneitra area.

Residents said shrapnel scattered around 200 meters (0.12 miles) from the border. Mayor Dolan Abu Salah said no one was hurt

Last week, Lebanon's Hezbollah group said one of its fighters was killed in a strike blamed on Israel near Damascus International Airport.

The group vowed to retaliate for any fighter that Israel kills in Syria. In September, the group fired a barrage of anti-tank missiles into Israel after two of its fighters were killed in an airstrike attributed to Israel near Damascus.
 
Syria ya Sasa ni weak Sana, haina airforce ya maana, Wana mig 21,23, nyingi,) haina air defenses mahiri za maana,( s 300 ziko mikononi mwa Russia bado) hawana makombora ya maana, na mbaya zaidi Vita bado Kali dhidi ya vibaraka wa Israel na US eg Alnusrah, ISIS,SDF, FSA, NB. Wote Hawa Wana nguvu kubwa bado Syria haijawashinda, upande mwingine Russia Kama mshirika yuko Syria kwa maslahi tofauti kabisA, kuendelezA ushirikiano na turkey ili kuiharibu NATO na so vinginevyo, Ila kiukweli adui dhaifu Kama Turkey ni simple tu hata kwa Syria hii dhaifu, leo turkey ana base kadhaa pale, kupigwa inawezekana lakini Syria akatazwa , ni shida
 
Arrow david sling zote zimefeli hawa syria si mchezo hivi mnakumbuka kichapo alichokuwa anakipata mturuki kutoka kwa syria ilikuwa balaa mara wanajeshi 20 wa uturuki wameuwawa mara kesho utasikia wanajeshi wengine 34wameuwawa uturuki ilichezea kichapo kipindi kile
 
Update: Multiple Rockets/Mortars were fired from Syria towards Israel causing damage to a civilian car and house in Madjal Shams from what I can tell, this doesn't appear to be an ATGM. Israel wanasema yameharibu baadhi ya majengo na magari

Subir tuutizame huu mtanange

===

An explosion along the Syrian-Israeli border on Friday caused damage to a building and a car in the Golan Heights town of Majdal Shams.

The Israeli army said a mortar or a rocket was fired from the Syrian side of the border, adding it was looking into the incident.

A Syrian source told Lebanese network Al Mayadeen that Syrian air defenses responded to a target, probably an Israeli drone, in the nearby Quneitra area.

Residents said shrapnel scattered around 200 meters (0.12 miles) from the border. Mayor Dolan Abu Salah said no one was hurt

Last week, Lebanon's Hezbollah group said one of its fighters was killed in a strike blamed on Israel near Damascus International Airport.

The group vowed to retaliate for any fighter that Israel kills in Syria. In September, the group fired a barrage of anti-tank missiles into Israel after two of its fighters were killed in an airstrike attributed to Israel near Damascus.
Demage to a civilian car and not even to a single F 35 of Israel?
 
Syria ya Sasa ni weak Sana, haina airforce ya maana, Wana mig 21,23, nyingi,) haina air defenses mahiri za maana,( s 300 ziko mikononi mwa Russia bado) hawana makombora ya maana, na mbaya zaidi Vita bado Kali dhidi ya vibaraka wa Israel na US eg Alnusrah, ISIS,SDF, FSA, NB. Wote Hawa Wana nguvu kubwa bado Syria haijawashinda, upande mwingine Russia Kama mshirika yuko Syria kwa maslahi tofauti kabisA, kuendelezA ushirikiano na turkey ili kuiharibu NATO na so vinginevyo, Ila kiukweli adui dhaifu Kama Turkey ni simple tu hata kwa Syria hii dhaifu, leo turkey ana base kadhaa pale, kupigwa inawezekana lakini Syria akatazwa , ni shida
Chai tu hizi. ISIS, Tahrir al Sham, FSA zote ni proxy za Waturuki. SDF ni za Wakurdi na Waarabu walikuwa trained na Marekani na Washirika wa OIR. Israel sio sehemu ya OIR wala sio mshirika wa Waturuki. Acha mambo ya vijiwe vya gahawa!
 
Majuzi kati hapa SYRIA na IRAN walikua na makubaliano fulani hivi yakijeshi naona sasa yana anza kuzaa matunda muda mfupi tu baada yakusainiwa

ISRAEL ataiheshimu SYRIA muda sio mwingi saana nakama hamuamini mutaona hapa.....

HIZBULLAH wanajitaarisha kwaupande ule kule WAYAHUDI watakula kolabo moja matata sana mpaka watie akili
 
Back
Top Bottom