Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba.
Kobazi wanajukumu gumu mbele yao,
1. Kuua watu kama Samia alivofanya
2...
Ni miaka karibia 50 ya ukandamizaji wa raia wa Iran nasa sasa wameamua kusema imetosha, wamejitoa muhanga kuikomboa nchi yao lakini media kubwa zinawapa airtime ndogo sana.
Yalianza kama...
Kupitia mtandao wa X/Twitter, Russia imewaomba Marekani kuacha ubabe wao wa kukamata meli, pia Russia imewaomba Marekani kuwatendea vyema raia wa Russia waliotekekwa pamoja na meli iliyokuwa...
Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia.
Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na...
Maandamano makubwa yalizuka kote Iran huku serikali ikikata huduma ya intaneti karibu nchi nzima, kulingana na makundi ya ufuatiliaji. Hatua hiyo ilikuja wakati wananchi wakipaza sauti wakidai...
DAH AISEE HAWA WATU WAJE AFRICA
WAKATI WANANZA MAANDAMANO NILIMWAMBIA MTU WAKIUWAWA 40 WOTE NDAN
DAH MDA UNAVYOENDA WAKIONGEZA VIFO NA WATU WANAJAZANA MTAAN
USIKU WA LEOO BAADHI YA POLISI...
Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia...
Marekani kujitoa katika mfululizo wa mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye kuisaidia Afrika.
==
The U.S. government has initiated a directive to withdraw from several international organizations...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela, Diosdado Cabello, amesema katika shambulio la Marekani lililomuondoa madarakani Rais Nicolous Maduro ilisababisha idadi ya vifo ya watu 100
Hapo awali...
Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi...
Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na...
Wanaukumbi.
Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás...
Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya...
Kama sababu ya Maduro kutekwa na Marekani ni madawa ya kulevya? Kwanini mlalamikiwa mkubwa kuhusu athari za madawa ya kulevya Marekani ambaye ni China Rais wao Xi Jinping mpaka sasa hajatekwa...
Australia itazindua Tume ya Kitaifa ya shirikisho kuhusu mauaji ya kigaidi ya Bondi Beach baada ya wiki kadhaa za shinikizo kutoka kwa jamii ya Wayahudi na familia za waathiriwa. Waziri Mkuu...
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa kauli kufuatia tukio la Januari 7, 2026, ambapo afisa wa Idara ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) alimpiga risasi na kumuua Renee Nicole Good (37), raia...
Rais wa Colombia Gustavo Petro ameapa kuitetea nchi yake dhidi ya kile alichokiita vitisho kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump.
Kupitia mtandao wa kijamii, Petro, ambae aliwahi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.