International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Cuba imethibitisha kwamba wanajeshi wake 32, waliotambuliwa kama wanajeshi na polisi, waliuawa wakati wa operesheni ya Marekani iliyosababisha kukamatwa kwa kiongozi wa Venezuela Nicolás Maduro...
2 Reactions
31 Replies
844 Views
Ndege za jeshi la marekani zinaingia kwa wingi uingereza na nchi zingine za ulaya ikiwemo uturuki Inaongeza wasiwasi kwamba huenda Iran itakumbwa na kile kilichoikumba Venezuela Iran kwa upande...
0 Reactions
21 Replies
712 Views
Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu...
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Ndege nyingi za Jeshi la Anga la Marekani zimeonekana zikiondoka katika kambi mbalimbali nchini Marekani na pia kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza, zikielekea Mashariki ya Kati...
3 Reactions
19 Replies
652 Views
Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA. Moral authority hawana kuisema USA!
10 Reactions
24 Replies
570 Views
Kumbe Warusi ni hamna kitu[emoji23] unajua natype huku nacheka tu washirika wake wananyolewa tu yeye yupo tu. Ukiachana Cuba, Venezuela ndo alikua mshirika wa uhakika wa Moscow kwenye eneo la...
19 Reactions
49 Replies
1K Views
Raisi wa Marekani Donald Trump ameidhinisa idara ya Ujasusi ya Marekani CIA kuanza mchakato wa kuuondoa utawala wa raisi wa Venezuela Nicolas Maduro, baada ya kiongozi huyo kukataa kufanywa...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema serikali ya mpito ya Venezuela imekubali kuipatia Marekani mamilioni ya mapipa ya mafuta yatakayouzwa kwa bei ya soko la kimataifa, huku mapato yakielezwa...
1 Reactions
9 Replies
656 Views
  • Redirect
Serikali ya Marekani imeishutumu Rwanda kwa kutotekeleza kwa uaminifu makubaliano ya amani yaliyotiwa saini Washington yanayolenga kumaliza machafuko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali ya Burkina Faso imesema imefanikiwa kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Ibrahim Traoré, ikimtuhumu aliyekuwa rais wa mpito, Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba, kuwa mpangaji...
1 Reactions
1 Replies
352 Views
Kufuatia Operesheni ya kumkamata Rais Maduro, Serikali ya Marekni ilitoa taarifa kuwa mtu wa ndani ya Serikali ya Venezuela na mshirika wa CIA alisaidia kuwezesha kujua mienendo ya Rais Maduro na...
3 Reactions
13 Replies
558 Views
Bei ya mafuta duniani ilishuka baada ya taarifa kwamba Marekani imefikia makubaliano na Venezuela ili kupokea hadi dola bilioni 2 za mafuta yaliyokuwa yakipelekwa China, hatua iliyosababisha...
1 Reactions
2 Replies
472 Views
Baraza la Ulinzi la Kitaifa la Iran limetoa taarifa inayopendekeza kwamba linaweza kuanzisha shambulio la mapema dhidi ya Israeli(Preemptive-Strike)‼️ "Usalama, uhuru, na uadilifu wa eneo la Iran...
1 Reactions
4 Replies
248 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa tathmini "mbinu tofauti" zitakazosaidia kuchukua eneo la Greenland, ikiwa ni pamoja na matumizi ya kijeshi, White House ilisema. Ikulu ya White House...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
🚨 ISRAELI YAFUNGUA ULINZI WA MPAKA WA KIZAZI KIJACHO Magari yanayojiendesha, ndege zisizo na rubani, na ndege nyepesi sasa zinaunganishwa katika mfumo mmoja wa ulinzi wa mpaka unaoendeshwa na AI...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Venezuela wa 2024, María Machado mpinzani aliyekuwa na nguvu na akimsumbua Maduro alizuiwa na Tume ya Uchaguzi (CNE) kugombea. Alipigwa "ban" ya kisiasa. Viongozi wengine...
9 Reactions
21 Replies
554 Views
Watu wengi mtakuwa mmeiona hii video ya Donald Trump akisema "we want our oil back" Tafsiri ya karibu ni "tunataka turudishiwe mafuta yetu". Trump anaonekana akidai hadharani kuwa mafuta ya...
5 Reactions
14 Replies
823 Views
Raia wa Marekani walijitokeza barabarani Chicago na Washington Jumamosi kupinga hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela, wakisema ni uamuzi wa kifalme na wa kibeberu ambao haukupitishwa na...
1 Reactions
65 Replies
2K Views
Baada ya taarifa kusambaa kuwa rais wa Venezuela alichukuliwa na vikosi vya Marekani, wengi waliuliza swali moja: Urusi na China walikuwa wapi? Kwa nini hawakuingilia kumlinda mshirika wao? Jibu...
2 Reactions
5 Replies
470 Views
Kiongozi wa upinzani wa Venezuela aliyeondolewa madarakani, Maria Corina Machado, amemwambia Sean Hannity kuwa anataka kumpa Donald Trump Tuzo yake ya Amani ya Nobel baada ya Rais huyo kukataa...
2 Reactions
2 Replies
238 Views
Back
Top Bottom