International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

“Mimi sina hatia. Sikujihusisha na kosa lolote. Mimi ni mtu mwema. Bado mimi ni rais wa nchi yangu,” alisema Maduro, mwenye umri wa miaka 63, kupitia mkalimani, kabla ya kukatizwa na Jaji wa...
2 Reactions
8 Replies
517 Views
Airtel Africa imetangaza ushirikiano na SpaceX kuanzisha teknolojia ya satellite ya Starlink inayowezesha mawasiliano ya simu moja kwa moja kwenye nchi 14 za Afrika. Huduma hii ya satellite...
1 Reactions
4 Replies
363 Views
Wakati Donald Trump alipoiondoa Colombia kwenye orodha ya washirika wa Marekani katika ushirikiano wa kudhibiti biashara ya dawa za kulevya tarehe 15 Septemba 2025, ilidhihirika haraka kuwa hatua...
0 Reactions
2 Replies
220 Views
Siku mbili baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kutoka Ikulu ya nchi hiyo mjini Caracas, maelfu ya wafuasi wake wameingia mitaani kulaani tukio hilo. Tukio la kukamatwa...
1 Reactions
21 Replies
714 Views
  • Redirect
Wanaukumbi. Marekani baada ya kumteka Rais wa Venezuela, wananchi hawataki Trump angile mambo yao ya ndani na wameishachagua Rais mpya. Mambo ndiyo yameenza huku Venezuela tofauti tunaambia na...
0 Reactions
Replies
Views
Mwanzoni wakati China inaanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, serikali ilichagua maeneo ya mashariki kuwa ya mwanzo kujipatia maendeleo. Baada ya maeneo hayo kupiga hatua yakaanza...
1 Reactions
0 Replies
159 Views
Venezuela inathibitisha tena dhamira yake ya amani na kuishi kwa amani na mataifa mengine. Nchi yetu inatamani kuishi bila vitisho vya nje, katika mazingira ya heshima na ushirikiano wa kimataifa...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Jan 04, 2026 North Korea’s leader Kim Jong Un has overseen the test flights of hypersonic missiles, underscoring the need to bolster the country’s nuclear deterrent amid “the recent geopolitical...
0 Reactions
2 Replies
393 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, amesema Beijing haiwezi kukubali nchi yoyote kujitwalia nafasi ya kuwa “hakimu wa dunia” au “polisi wa dunia,” akitoa kauli hiyo kufuatia kukamatwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
361 Views
Mwanasiasa wa Bunge la Ulaya amehoji uwezekano wa Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro na kumfikisha katika Mahakama , lakini imeshindwa kumkamata na kumuwajibisha Waziri Mkuu wa...
6 Reactions
16 Replies
415 Views
Angalia ALJAZERA utawaonea huruma. Lakini wameonewa maana hawajatenda kosa lolote against USA ila Maduro aliua, ameua watu wengi. Kwa hilo ngoja naye afedheheshwe! Na yule wa Columbia anaweza...
4 Reactions
19 Replies
614 Views
Hii ni ishara kuwa bado kutakuwa na safari ndefu ya mkanganyiko ndani ya Venezuela. Jeshi tiifu kwa Maduro. Wapinzani hawakubaliki na wananchi Makamu wa Rais anakosa nguvu za kisheria kufanya...
0 Reactions
10 Replies
557 Views
Mahakama Kuu ya Venezuela imemuamuru Makamu wa Rais Delcy Rodriguez kuchukua Urais wa nchi hiyo ya Amerika Kusini kwa muda baada ya Rais wake, Nicolas Maduro, kukamatwa na Majeshi ya Marekani...
1 Reactions
18 Replies
488 Views
Msemaji wa IDF anayezungumza Kiarabu ametoa onyo la kuhama kwa maeneo mawili kusini mwa Lebanon. Tayari sasa Hezbollah wameanza kunyea ndoo!!
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Niishie tu kusema wengine wanaona sifa kukaa baharini tena wanazuia na raia wasipite wanafunga barabara hawataki watanganyika wafurahie nchi yao na wakijivinjari kwenye nchi yao utakuja muda...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
Huu ni wakati sahihi wa Israel kuishambulia Iran kwa nguvu zote Mimi sishabikii matendo ya Israel hata kidogo ila kama kweli wapo serious na wanadhani wanaiweza Iran basi huu ndo muda nzuri wa...
4 Reactions
29 Replies
653 Views
Tangu aingie madarakani mwaka 2013, Rais Nicolás Maduro amekuwa na uhusiano wenye migogoro mizito na Kanisa Katoliki nchini Venezuela. Wakati Kanisa likijitambulisha kama mtetezi wa haki za...
20 Reactions
61 Replies
1K Views
kutoka kwa nguri wa habari Larry madowo:Why is the African Union getting cooked for this statement on Venezuela?. Maana afrika kama futuhi fulani.Kwa hiyo ya afrika ni kama hakuna wenye uchungu...
5 Reactions
13 Replies
469 Views
Ili kuuhakikishia iulimwengu na wanafiki wanaoeneza uongo kuwa Israel inawachukia wakristo Waziri Mkuu wa Israel kama kawaida yake ya kila mwaka usiku huu amewatumia salamu kuwatakia Kheri...
5 Reactions
65 Replies
859 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake...
18 Reactions
288 Replies
9K Views
Back
Top Bottom