International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya hapo jana Bunge la Marekani kumthibitisha Joe Biden na kisha Trump kupokwa silaha zake muhimu ambazo ni social media, hatimae hivi leo Donald Trump ameufyata na kukubali matokeo ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna...
8 Reactions
92 Replies
9K Views
Uvutaji sigara kwenye maeneo ya wazi umepigwa marufuku katika mji wa Milan nchini Italia. Kulingana na uamuzi wa Manispaa ya Milan, uvutaji sigara hautaruhusiwa katika maeneo ya wazi, bustani za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mitandao mbalimbali inaonesha kuwa wandamanaji wamejipanga huku wengine wakijihami kwa silaha, nzito, aidha, makundi kadhaa ya kijamii yanaendelea kutuma maombi ya kupewa vibali vya kuandamana...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Yes wakuu, Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Waandamaji ambao wamekiuka taratibu za kudhibiti COVID19 na kuendeleza ghasia kwa usiku wa tano mfululizo wameonywa kuacha vurugu hizo. Hadi sasa, watu zaidi ya 600 wamekamatwa, wengi wao wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kifupi Korea ya kaskazini imeshindikana,haiwezekani Tena,imeingia kwenye klabu ya wababe. Leo tarehe 15 Januari 2021 imeonesha kombora jipya linalorushwa kutoka kwenye nyambizi. Korea...
7 Reactions
106 Replies
11K Views
The world including developing countries could not believe in their eyes and ears seeing and hearing the President of a very big and very democratic country loving and commending people who are...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kaimu waziri wa ulinzi Christopher Miller anasema ingawa hatuna taarifa ya ujasusi inayoonesha tishio la ndani, hatutaacha kuchukua hatua yeyote ya ziada katika kuulinda mji mkuu, Washington...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari yenu Huu ni ukurasa huru kwa yeyote mwenye kufwatilia kinachoendelea USA ktk kuapishwa kwa Trump ili sisi tulio mbali na TV zetu tujue nini kinaendelea. Rais mteule Donald J. Trump...
11 Reactions
781 Replies
82K Views
Watu wengi sana wamekuwa wanajiuliza hilo swali na kuona kwamba kitendo cha kuto kiwa na hizo aircraft carrier ni kosa kubwa mno kwa Urusi. Billi Clinton, Rais wa Zamani wa USA aliwahi kusema...
27 Reactions
342 Replies
77K Views
Vituko, huko New York, mwizi baada ya kuiba gari na kutokomea kusikojulikana, katika harakati za kukagua gari akakuta kuna mtoto ndani yake, ikabidi arudi hadi alipoiiba na kumkuta mama wa mtoto...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
Bilionea wa China, Jack Ma ameonekana kwa mara ya kwanza katika video, baada ya kutoonekana hadharani kwa takriban miezi mitatu na kuibua mjadala kuwa hajulikani alipo. Katika video hiyo, Jack Ma...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali imetangaza kufungwa kwa Shule za Awali, Msingi na Sekondari katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Kigali, kutokana na idadi na visa vya COVID19 kuendelea kuongezeka. Waziri wa Elimu, Valentine...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo. ========...
6 Reactions
92 Replies
10K Views
Miundo mbinu ya reli ikiwemo stesheni za reli, nyaya za umeme , hata lifti ktk majengo ya stesheni za reli nchini Afrika ya Kusini imekwapuliwa na vibaka waliowasili wakiwa na malori hivyo kufanya...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
The depopulation concept on videos is directed to the whole world. Africa is part of the order. They want to deal with the worthless of Africans in economy. Business with African people is...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom