Hatimaye Donald Trump Aufyata Rasmi!

Bon-CN

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
1,325
2,726
Baada ya hapo jana Bunge la Marekani kumthibitisha Joe Biden na kisha Trump kupokwa silaha zake muhimu ambazo ni social media, hatimae hivi leo Donald Trump ameufyata na kukubali matokeo ya uchaguzi uliopita!



Donald Trump conceded that Joe Biden would become US president this month, putting an end to his unprecedented campaign to overturn the results of November’s election.

The president acknowledged his defeat as Democratic leaders mounted a push to forcibly remove him from office after he came under intense criticism for inciting a mob attack on Congress on Wednesday while it presided over the certification of the electoral college results.

In a video posted to Twitter on Thursday evening, Mr Trump tried to distance himself from the assault on the nation’s capital, accusing violent demonstrators of “defiling the seat of American democracy”.

He conceded that Congress had certified the election results and that “a new administration will be inaugurated on January 20”, although he stopped short of congratulating Mr Biden, who he did not mention by name.

“My focus now turns to ensuring a smooth, orderly and seamless transition of power,” said Mr Trump, reading from a teleprompter. “This moment calls for healing and reconciliation.”

He added: “Serving as your president has been the honour of my lifetime.”

The video message from Mr Trump followed a day of violent unrest in the nation’s capital, and marked a sharp contrast from a fiery speech he delivered on Wednesday in which he said: “We will never give up. We will never concede . . . You don’t concede when there’s theft involved.”

More on Financial Times
 
Uchaguzi wa marekani mwaka jana mshindi alitangazwa mapema tu, Hizi nyingine ni kelele tu mshindi alishatangazwa, Trump angeachaje kutokukabidhi madaraka kwa mfano?
 
Uchaguzi wa marekani mwaka jana mshindi alitangazwa mapema tu, Hizi nyingine ni kelele tu mshindi alishatangazwa, Trump angeachaje kutokukabidhi madaraka kwa mfano?
Ni kweli, ingewezekana kwa Trump kutokabidhi madaraka kama ingekuwa ni Afrika au kwingineko duniani lakini sio nchi za Magharibi, hususani Marekani.
 
Ni kweli, ingewezekana kwa Trump kutokabidhi madaraka kama ingekuwa ni Afrika au kwingineko duniani lakini sio nchi za Magharibi, hususani Marekani.
Hujaelewa kitu. Kama angejua hana nafasi ya kugombea tena (from 2024) wala hata awingeridhia kabisa kimwachia jamaa yenu nafasi kwenye hiyo shambolic election ya US.

Hiyo ni GIA ZA twenty twenty 4! Ukitaka kumjua Trump akilini mwake, soma vitabu kibao za his fiercest enemies & critics. The guy doesn't minse words! He means what he says.
 
Eti wameandika ^The president acknowledged his defeat? Pure falsification of facts.
 
Hujaelewa kitu. Kama angejua hana nafasi ya kugombea tena (from 2024) wala hata awingeridhia kabisa kimwachia jamaa yenu nafasi kwenye hiyo shambolic election ya US. Hiyo ni GIA ZA twenty twenty 4! Ukitaka kumjua Trump akilini mwake, soma vitabu kibao za his fiercest enemies & critics. The guy doesn't minse words! He means what he says.
Sijaelewa kitu wakati wewe unashindwa hata kuandika kwa Kiswahili! Halafu acha ulimbukeni wa kujifanya unamjua sana Trump kuliko Wamarekani wenyewe, tena Republican Insiders!
 
Marekani hawana mashtaka ya uchochezi? Au ni makubaliano aachie ngazi ili asihusishwe na hao waandamanaji?

Hata wamegewa jina zuri 'mob' huku wana mabomu na molotov. Ni kinyume na sheria kuingia capitol na silaha last time watu waliingia na silaha walikua Blacks na ndiyo ikatungwa hiyo sheria na blacks waliitwa magaidi.

Hii sasa ndiyo systemic racism.
 
Back
Top Bottom