Maandamano nchini Tunisia yaendelea kwa usiku wa tano mfululizo, zaidi ya vijana 600 wakamatwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,745
2,000
Waandamaji ambao wamekiuka taratibu za kudhibiti COVID19 na kuendeleza ghasia kwa usiku wa tano mfululizo wameonywa kuacha vurugu hizo. Hadi sasa, watu zaidi ya 600 wamekamatwa, wengi wao wakiwa na umri kati ya miaka 14-15.

Waziri Mkuu wa Tunisia, Hichem Mechichi amekiri uhalali wa hasira zao ambazo zinazotokana na changamoto mbalimbali za kiuchumi na kijamii, akikubali uwepo wa matatizo hayo. Lakini amesema hawatovumilia vurugu na watakabiliana nazo kwa mujibu wa Sheria.

Amewataka waandamanaji kuacha wizi na uharibifu akisema sauti zao zinasikika na hasira zao zinaeleweka huku akiongeza, kazi ya Serikali ni kufanyia kazi matakwa yao.

=====

Protesters who broke a coronavirus curfew to continue riots for a fifth night have been warned by Tunisia's prime minister to stop their violence.

More than 600 people, mainly between the ages of 14 and 15, have already been arrested after police clashes.

Prime Minister Hichem Mechichi acknowledged their anger about a range of economic and social hardships.

"The crisis is real... but we reject chaos and will confront that with the power of the law."

In a televised speech, Mr Mechichi appealed to the protesters to stop the looting and the vandalism: "Your voices are heard, your anger is legitimate, and my role and the government's role is to work on realising your demands."

Tunisia faces severe economic problems and a third of its young people are unemployed.

The economic crisis has worsened under the pandemic - and a night-time curfew has been in place since October.

The unrest came amid a four-day national lockdown to stem the spread of Covid-19, which also coincided with the 10th anniversary of the revolution that ousted long-time leader Zine al-Abedine Ben Ali, ushered in democracy and triggered the Arab Spring revolts across the region.

The riots have taken place mainly in densely populated and underprivileged areas, where the relationship between young people and the police is historically tense, the BBC's Rana Jawad reports from the capital, Tunis.

Amnesty International has criticised the police's excessive use of force in dealing with the protests.
 

pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
6,316
2,000
Hii ni hatari zaidi 14 -15 yrs?
Damu inachemka
Hapo lazima mabadiliko ila waangalie tu isijekua wametumwa na mabeberu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom