International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Basi la abiria limeteketea kwa moto jana usiku Novemba 15 na kusababisha vifo hivyo na wengine takribani 20 wamejeruhiwa huku baadhi wakijeruhiwa vibaya Msemaji wa Polisi Charity Charamba amesema...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mawaziri hao wamejiuzulu wakati Waziri Mkuu Theresa May akijaribu kuwashawishi Wabunge kuhusiana na mpango wake wa kujitoa Umoja wa Ulaya, maarufu 'Brexit' Waziri anayeshughulikia Brexit, Dominic...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Umoja wa Mataifa umesema walinda wake amani wapatao 7 wameuawa katika mapigano yaliyozuka karibu na mji wa Beni kaskazini mwa Kivu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Ni eneo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikua napitia pitia tech new Bloomberg nikakutana na hii Mamlaka ya wamasioliano huko Marekani imepampa elon musk alhamisi iliyopita kibali cha kurusha satelite 7,518 za kutoa huduma za...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kinachotrend sasa hivi ni mgogoro wa Israel na Gaza . . Israel imeshambulia kambi mia moja za Hamas nayo hamas wamerusha maroketi 300 . . Wapalestina 3 wameauawa huku waisrael wakidai aidha ni...
6 Reactions
77 Replies
7K Views
Wanajeshi saba wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC (MONUSCO) wameuawa na 10 wamejeruhiwa katika operesheni ya kijeshi ya pamoja na askari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo dhidi ya waasi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
(CNN)Jemel Roberson couldn't wait for his son's first Christmas. With a 9-month-old boy and another baby on the way, the 26-year-old security guard was working extra shifts to buy gifts for his...
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Umoja wa Ulaya kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania dakika (0) nyuma Umoja wa Ulaya umesema unazitafakari sera zake kuhusu Tanzania, na utafanya mjadala na nchi hiyo baada ya kukamilika...
0 Reactions
4 Replies
807 Views
Zionist Settlers in Gaza Vicinity Protest against Ceasefire: Netanyahu Cannot Protect Us  1 day ago  November 14, 2018 After announcing the ceasefire between the Zionist enemy and the...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Kisa na mkasa ni kushindwa kufikia muafaka wa mkataba wa kusitisha mapigano baina yake na Palestina Ameshauri uteuzi ufanyike mapema, ili kunusuru Hali ya sasa ya sintofahamu!! ==== Israeli...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Morocco inaugurates 320kph train THURSDAY NOVEMBER 15 2018 French President Emmanuel Macron (L) and Moroccan King Mohammed VI (R) pose for a photograph as they inaugurate a high-speed line...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Yoshitaka Sakurada(68), Waziri mpya wa usalama mtandaoni nchini Japan ameushangaza Umma aliposema hayo mbele ya Kamati ya Watunga sheria Amesema "Tangu nikiwa na miaka 25 nimekuwa nikiwaagiza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionMfanyakazi wa White House akijaribu kuchukua kipaza sauti kutoka kwa Jim Acosta Ikulu ya Marekani imefuta kibali cha mwandishi wa habari wa kituo cha CNN...
0 Reactions
Replies
Views
Rais wa Afrika kusini Mh Cyril Ramaphosa yupo katika ziara ya nchi za Ulaya na leo yupo nchini Ubelgiji na leo anatazamiwa kulihutubia bunge la Ulaya jijini Bruseils, aidha Rais Ramaphosa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
In Hebron, mourning a Palestinian killed in Ashkelon by a rocket fired from Gaza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu nchini Saudi Arabia imemaliza uchunguzi wake juu ya nani aliyeamuru kuuawa kwa mwanahabari Jamal Khashoggi na kufikia kikomo kuwa haikuwa Mwanamfalme Mohammed bin...
2 Reactions
Replies
Views
Mwendesha Mashtaka anataka adhabu hiyo itolewe kwa Washtakiwa 5 kati ya 11 waliohusika na mauaji ya Mwandishi wa habari, Jamal Khashoggi Mwendesha Mashtaka Msaidizi, Shalaan al-Shalaan amesema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naona rais Trump hapa ametwit kuwa kuna wizi wa kura kwenye hizo wilaya tajwa...mi nilijua USA bebi uchaguzi wao ni fulu demokrasia.heeh
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dictatorial can be understood as a “form of government in which absolute power is concentrated in a dictator or a small clique”. It is a government, characterised by a single leader or group of...
0 Reactions
4 Replies
707 Views
Melania Trump, Novemba 13 ametaka kufutwa kazi kwa Mshauri Msaidizi wa masuala ya Usalama nchini Marekani, Mira Ricardel mtu ambaye Maafisa wa Ikulu wanasema hajawahi kukutana naye Kwa mujibu wa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom