Taifa hilo limeidhinisha Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer/BioNtech kwa Watoto walio na umri wa miaka 5 - 11, ikielezwa Wataalamu wamebaini ina ufanisi wa 91% katika kuzuia Ugonjwa huo kwa Watoto...
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekiri kwamba wanajeshi wa serikali yake wameondoka katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle baada ya miezi kadhaa ya mapigano. Kiongozi huyo amesema hatua...
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia
Serikali ya Abiy ambaye...
Aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza hadharani jinsi Wazayuni walivyolihodhi na kulidhbiti bunge la nchi hiyo la Kongresi na kubainisha kwamba kwa muda wa muongo mmoja uliopita, Israel...
Televisheni moja ya nchini Lebanon imetangaza kuwa, viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamekiri kwamba wameshindwa katika vita vya mawasiliano ya Intaneti (Cyber War) na hadi hivi sasa...
Waokoaji wanafanya kazi usiku kucha kutafuta manusura katika mji wa Lagos nchini Nigeria baada ya jengo la ghorofa 22 kuporomoka wakati wa ujenzi.
Takribani watu wanne wamefariki na wengine...
Kiongozi wa mapinduzi yaliyofanyika wiki iliyopita Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amemfuta kazi mwendesha mashtaka mkuu Mubarak Mahmoud kufuatia kuachiliwa huru kwa watu kadhaa...
Jeshi la Anga la Marekani limetangaza kuwa, huenda maafisa 12,000 wa jeshi hilo wakafutwa kazi baada ya kukataa chanjo ya COVID-19.
Kwa mujibu wa msemaji wa Pentagon John Kirby, amri ya...
Mwakilishi wa Wazayuni achana ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za Israel
Oct 30, 2021 12:31 UTC
[https://media]
Mwakilishi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Baraza Kuu la...
Kumbe IRAN walivyosema wapo kwenye mchakato wa kutengeneza hypersonic missile hawatanii ni muda si mrefu wanaenda kutest
Pia tayari kitambo tu RamJet Engine tena ni vijana wadogo tu huko Iran...
Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu wanalenga kuvuruga usalama duniani
22:06 - October 29, 2021
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati...
Mkuu wa Kamati ya Nishati ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) upo chini ya mashinikizo makubwa ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa...
Ijumaa Rais Joe Biden wa Marekani alikutana na kuzungumza na mwenzake wa Ufaransa Rais Emmanuel Macron kuhusu mkataba wa mauzo ya nyambizi kati ya Washington na Canberra, ambao umeikasirisha sana...
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) imesema Matukio kama joto kali na mafuriko makubwa sasa ni hali ya kawaida.
Utafiti umebaini miaka saba iliyopita ukiwemo wa 2021 ina...
Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu.
China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi...
Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali...
Jaribu kuangalia hii makala iliyoandaliwa na chombo cha habari cha WION
. Tatizo langu halipo kwenye news outlet hii but nashangaa pale serikali inapoamua kuchukua hatua kudhihiti machafuko...
Biden apewa ushauri hatari wa kupeleka mabomu ya atomiki Taiwan ili kukabiliana na China
Oct 19, 2021 07:44 UTC
[https://media]
Taasisi moja ya wanafikra wenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini...
Israel ilikua inataka kuishambulia Iran kupitia Azerbaijan ambayo ni nchi jirani ni Iran
Tayari inasekemana ndege za Israel za F-35 zipo ndani ya Azerbaijani tayar kuishambulia Iran
Wakati huo...
Waziri wa biashara wa Marekani Gina Raimondo ameviambia vyombo vya habari vya nchi hiyo kuwa nchi hiyo inapaswa kushirikiana na washirika wake wa Ulaya ili kuzuia China kupata teknolojia ya hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.