Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa jamaa wamekuwa mabeberu. wanaona sisi hatuna kazi za kufanya tununue MB tuangalie sarakasi.zao mtandao. Nina wablock kabisa. Wanaona sisi ni vyanzo vyao vya mapato. bora hata yule...
2 Reactions
3 Replies
199 Views
Kutatokea muwindano wa kutoana uhai(VITA) kwa viongozi waandamizi katika mfumo wa uongozi. Kiongozi mmoja atakua au alikua anamuwinda mtu kutoka katika kundi dhaifu, alipomsogelea karibu... yule...
5 Reactions
9 Replies
198 Views
Sijui na tatizo gani?Kila siku nikilala naota ndoto nyevu.sijui n tatizo ganI linansumbua,kila siku nikiamka surual imeolewa.Sijui na jamiana na mizuka au nifungo vya giza...
3 Reactions
10 Replies
170 Views
Kahama ni mji ambao ni kawaida kukuta mtu anapush gari ya milioni 500, Lakini je, Kahama manispaa imeipiku shinyanga manispaa?
3 Reactions
7 Replies
281 Views
Wadau hamjamboni nyote? Picha Wakili Peter Madeleka (kushoto) akiteta jambo na mteja wake, John Robert Rupia, katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi, kabla ya kuanza kusikiliza kesi...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume...
16 Reactions
116 Replies
3K Views
Hello, Habari marafiki...nadhani nitakuwa sijapotea njia kuomba mchango wenu wa mawazo kupitia jukwaa hili kwani nahisi katika jukwaa hili la mmu ndipo watembeleapo wazazi wengi zaidi kuliko...
0 Reactions
193 Replies
48K Views
Mwaka 2008 nilipanda basi moja na mama mkwe wangu ambaye nilikuwa ninamuheshimu kuliko hata mama yangu kutokana na umri wake wa makamo (alikuwa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaribia kustaafu na...
27 Reactions
209 Replies
8K Views
Huwa sielewi, chuki za Watanzania dhidi ya 1. Wasomi 2. Walimu 3. Waajiriwa Ilianzia wapi. Kosa la hao watu ni nini maana nimeona threads nyingi zinaanzishwa kuwaponda. They're just living their...
8 Reactions
84 Replies
983 Views
Habarini Ndg ? Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili...
1 Reactions
191 Replies
49K Views
Habari ya saa hizi wana jamvi, poleni kwa mgao wa umeme[emoji3]. Niende moja kwa moja kwenye mada Katika pita pita kikiwa kikazi huko nyara nikawa nimekutana na mwanadada mmoja mrembo, kimoyo...
49 Reactions
419 Replies
25K Views
Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje? Waliokufa kabla ya Yesu kuja, yaani watu wa Agano la Kale, wataokolewaje? Swali hili linaulizwa na baadhi ya watu kwa sababu tunajua kuwa...
5 Reactions
22 Replies
587 Views
Kifo ni somo na mafunzo makubwa kwa sisi tulio hai. Apumzike kwa amani mzee wetu Lukuvi. Ila kwa sisi tulio Baki hai tunapaswa kujifunza kuwa maisha haya ya duniani ni mapito tu, hatupaswi...
5 Reactions
6 Replies
234 Views
Toka huu mwaka uanze naona kuna jambo halipo sawa kwenye upande wa saa nikama mtu anacontrol saa ulimwenguni na kufanya majira yaende kasi zaidi Ukilala ukiamka kumeshakucha, uchovu mwingi na...
12 Reactions
49 Replies
682 Views
Anonymous (1896)
Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni. Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo...
4 Reactions
3 Replies
291 Views
Mnamo tarehe 15 Oktoba, 2009, dunia ilishuhudia moja kati ya matukio ya ajabu na ya kushtua zaidi katika historia ya runinga. Tukio hili, ambalo baadaye lilikuja kujulikana kama "Balloon Boy...
3 Reactions
2 Replies
293 Views
Habarini, Kwa baadhi ya watu humu kama mnavonijua humu jukwaani, mimi sio mtu wa mambo ya kiroho, ni mkristo, ila ni mkristo jina, kanisani siendagi kabisa dhambi ninazo nyingi sana, sisomagi...
4 Reactions
21 Replies
926 Views
Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa...
9 Reactions
10 Replies
346 Views
Assalam Aleykum... Hongereni kwa ramadhani wote mliojaaliwa kuwa na funga siku ya leo... Hapa ninaghadhabu sana na tukio la leo tumenusurika chupuchupu kifo,tumetoka iringa tunaelekea dodoma tupo...
10 Reactions
62 Replies
1K Views
Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea. Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri. mara ya kwanza...
5 Reactions
15 Replies
555 Views
Back
Top Bottom