Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo. Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na...
6 Reactions
53 Replies
933 Views
Ukiuangalia kwa kina, Mbeya Ina uwezo mkubwa wa kujitosheleza karibu katika kila kitu muhimu kwenye maisha na maendeleo ya kiuchumi. Utajiri wa mali uliopo ndani ya mkoa huu ni mkubwa sana...
11 Reactions
170 Replies
3K Views
Aliyewai kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, ambaye pia ni Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya Wanawake, Amani na Usalama...
2 Reactions
8 Replies
252 Views
The sky is not a limit your mind is. Weka hisia mbali na mambo ya msingi.
4 Reactions
4 Replies
135 Views
Humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums, Nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema...
5 Reactions
31 Replies
388 Views
Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza...
18 Reactions
27 Replies
740 Views
Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji. Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco...
14 Reactions
75 Replies
2K Views
Leo tarehe 28 zimesalia siku 3 hivi kumaliza mwezi wa 3. Sasa kuna wale tayari wameshapokea mishahara yao tangu 22 ambao wengi wao ni watumishi wa Umma. Lakini private wengine tarehe 25 hadi leo...
6 Reactions
13 Replies
271 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limetoa taarifa ya kukamatwa kwa mashine bandia 60 za michezo ya kubahatisha pamoja na kumshikilia raia wa kigeni aitwaye Wang Renbiao (28) kwa tuhuma zinazohusiana...
2 Reactions
21 Replies
517 Views
Bukoba mjini na Musoma mjini yote ni miji midogo, je mji gani una unafuu Usafiri - Anga, Maji, Ardhi Mitaa ya makazi ya watu inayovutia Majengo ya mjini Shule Vyuo Barabara Miradi n.k
2 Reactions
13 Replies
235 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Niulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno. Feel free kuaddress swali lako directly...
19 Reactions
347 Replies
13K Views
Kwa nini bara la Africa linaendelea kuwa maskini lakini ndio linaongoza kwa kuomba hizi ndio sababu soma caption 1.hekima(wisdom), katika jamii ya Africa kuna kitu kinakosekana nacho ni hekima...
8 Reactions
107 Replies
1K Views
Maeneo mengi ya Tanzania mfano Dar es Salaam na Pwani kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wahamiaji haramu hasa watu kutoka nchi ya Malawi ambapo wameathiri sana ajira na vibarua kwa wazawa. Mfano...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Ee Mungu mkuu, leo tunakumbuka siku ambayo Yesu Kristo aliingia jijini Jerusalem kwa shangwe kama mfalme wa Haki. Tunaomba kwa mkono wako wenye nguvu, utuondolee watawala dhalimu wanaotesa watu...
1 Reactions
2 Replies
351 Views
  • Redirect
Mwili wa aliyekua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, pamoja na mke wake, Luluwa Selemani imeopolewa leo jioni katika mto Mang'onyi...
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Elimu Bora Nyumbani Kwako! Je, unahitaji mtoto wako afaulu vizuri zaidi shuleni? Sasa suluhisho lipo hapa! 👉 Tunatoa huduma za kufundisha nyumbani (Home Tuition) kwa ubora wa hali ya juu 👉 Walimu...
1 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom