Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TAASISI zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi nchini zimetakiwa kuhakikisha zinajisajili kabla ya Aprili 8, mwaka huu, vinginevyo zitakabiliwa na hatua kali za kisheria ikiwemo faini ya...
5 Reactions
7 Replies
333 Views
Video inajieleza Inaonesha victims wa USA (Vietnam, Gaza, Japan (Hiroshima), Iran nk) wananchi wake wakiwa wanaangalia juu, yani wanaliangalia bomu likiwa linapaa juu, kisha mwisho wa video...
6 Reactions
17 Replies
441 Views
Nadhani jambo la imani ni pana sana wakuu. Enzi za agano la kale kila Taifa lilikuwa na Mungu wao. Tunaona wakanaani walikuwa na mungu baali wengine walikuwa na mungu jua nk Huku Africa nasi...
10 Reactions
62 Replies
891 Views
Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana...
27 Reactions
84 Replies
2K Views
Kufika 2030 nadhani kutakua na uhitaji hafifu sana wa watu waliosoma computer science. Kwanini? Integration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma...
8 Reactions
10 Replies
384 Views
Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana...
7 Reactions
31 Replies
522 Views
Mchekeshaji wa prank, Elvis Mushila, anaripotiwa kupigwa vibaya baada ya kufanya prank kwa watu wasio sahihi. 😳 Elvis alijeruhiwa vibaya, hadi uso wake kuharibika (dislocated) kutokana na kipigo...
7 Reactions
10 Replies
240 Views
Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
3 Reactions
16 Replies
295 Views
🇮🇩 Indonesia — 🇲🇨 Monaco 🇷🇴 Romania — 🇹🇩 Chad 🇳🇱 Netherlands — 🇱🇺 Luxembourg 🇮🇪 Ireland — 🇨🇮 Côte d’Ivoire 🇸🇰 Slovakia — 🇸🇮 Slovenia 🇦🇺 Australia — 🇳🇿 New Zealand 🇭🇹 Haiti — 🇱🇮 Liechtenstein...
4 Reactions
6 Replies
207 Views
Sisi kitu tunaweza ni kupambana na Upinzani tu na wapinzani. Tunakwama wapi ? TTCL wana juhudi kutuma Control number lakini Mfumo haufanyi kazi DAWASA wanafungua maji siku 1 wanatuma bills...
1 Reactions
2 Replies
654 Views
Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa...
6 Reactions
10 Replies
354 Views
Hizi kelele wanazopiga hawa vijana hapa ni sawa na kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji. In fact kwasaasa kinauzwa kila kitu Vikubwa vimeshauzwa vyote Vya kati vimeshauzwa...
16 Reactions
86 Replies
1K Views
Wakuu, Nimeona kampuni ya Safaricom wamekuja na mfumo mpya wa kuficha baadhi ya tarakimu kwenye namba za mtu anayetuma pesa, nadhani ni wazo zuri sana. Mfano, ukituma pesa, mpokeaji ataona namba...
3 Reactions
5 Replies
275 Views
Wakuu! Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'. Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya...
22 Reactions
76 Replies
4K Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa ufafanuzi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji yeyote bali maboresho yatafanyika kwa manufaa ya wananchi...
3 Reactions
1 Replies
202 Views
Imeelezwa kuwa wakati Tanzania ikiwa na nguvu kazi kubwa ya watu milioni 33, sekta ya umma imeajiri chini ya watu milioni moja, jambo linalothibitisha kuwa serikali haiwezi kuwa injini kuu ya...
4 Reactions
10 Replies
244 Views
Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ Kwa yoyote...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Kumbe kuna watu wanabaki ndoani kisa wanawadai wenza wao, yaani mtu kashaona hapa hapakaliki ila sababu aliwahi kumkopesha mwenza wake pesa anaona akimuacha na pesa itapotea hivyo anaendelea...
2 Reactions
1 Replies
130 Views
Madhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu...
19 Reactions
80 Replies
2K Views
Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu. Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na...
1 Reactions
12 Replies
397 Views
Back
Top Bottom