Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,736
Sijui na tatizo gani?Kila siku nikilala naota ndoto nyevu.sijui n tatizo ganI linansumbua,kila siku nikiamka surual imeolewa.Sijui na jamiana na mizuka au nifungo vya giza
Ebu wakuu nisaidien kimawazo, maana hili sio mchezo na pata mademu wengi ndoton,kuliko kiuhalisia.
Ebu wakuu nisaidien kimawazo, maana hili sio mchezo na pata mademu wengi ndoton,kuliko kiuhalisia.