Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema Coco Beach haijauzwa, bali serikali inaboresha ili kulipa hadhi eneo hilo na kudhibiti shughuli zisizokubalika kisheria.
"Vijana wengi waliopo...
Swali la uwepo wa Mungu ni swali la kifalsafa, kiteolojia, na kiimani zaidi kuliko kisayansi. Watu wengi huuliza: kama Mungu yupo, kwa nini asithibitishwe kwa majaribio ya kisayansi? Ili kujibu...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya Barabara ya Mwanza Mjini hadi Kangaye kwamba ni mbovu na magari mengi hayapiti, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa...
WASANII BINAFSI, MC, DJ, WAPAMBAJI, WAPIKA KEKI, MAPROMOTA, MAMENEJA WA WASANII, STUDIO ZA KUREKODI MIZIKI NA WAFANYABIASHARA WA KAZI ZA SANAA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wadau...
Katika ulimwengu wa kiroho, watu wengi hujikuta wakivutiwa na matumizi ya mafusho (udi, ubani karafuu mdalasini na aina mbali mbali za mafusho kulingana na nyota yako), vito , na vitakasa...
Wakuu, poleni na majukumu ya kulijenga taifa (au tuseme, kujenga matumbo ya wajanja wa mjini. Leo tuna maada Chungu! Chungu kama Sifongo. Kama unaamini kwamba kufanya kazi masaa 18 kwa siku...
leo naomba niwashirikishe fursa niliyoiona kutokana na Tanzania kuwekewa odd kubwa kama atafungwa. Leo Tanzania amewekewa hadi odd ya 70 kwa baadhi ya makampuni,
hii ni fursa ya kipekee ambapo...
We mtu umeona tangazo la mkopo linasema kabisa uwe na
1. biashara hata kama ni ndogo yenye TIN
2.uwe na bank account means kwa mtu mwenye akili anakuwa anajua kabisa lazima wanataka wacheki...
Askofu Mkuu mwanamke wa kwanza Dame Sarah Mullally ameapishwa rasmi kuwa katika historia ya Kanisa la Anglikana duniani, akiongoza waumini takribani milioni 85.
Ingawa alianza majukumu yake tangu...
Hili taifa linaitaji uponyaji ukisikiliza hii misongi ya wasanii ni usenge tu yaani wanaimba usenge tu..naangalia TV za hapa tz zinapiga ukuda.haya ndio madhara ya serikali kutuwekea misingi mibov...
Leo naomba tuweke vitabu vyetu vitakatifu pembeni kwa dakika tano tu, tuchukue Calculator na tutumie akili zetu za kuzaliwa. Kuna jambo ambalo tunaliogopa kulijadili, lakini ndiyo mzizi mkuu wa...
Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni...
Kwa kilichotokea kabla wakati na baada ya uchaguzi ni dhahiri shahiri sisi jamii ya kiafrika tunachangamoto ya kimsingi.
Namna hii mifumo ya uongozi ilikosea inakosea na inaendelea kukosea na cha...
Onyo
Kuna makampuni kadhaa yanamilikiwa na Waghana na Wanigeria
Hawa wako na style ya kuwadanganya watu kuijiunga na kila wiki unatumiwa hela asubuhi mapema
Wana kiwango kuanzia 140,000 mpaka...
Nimevuka daraja la Magu mpaka Geita, ilikuwaje kipindi kile tunavuka massaa 3 mpk 4 kwa gharama ya elfu 4
Leo hiii ni nusu Saa wavuka, kwa nini gharama ZIMEKUWA hizo hizo?
Hapa naongelea WATALII WA NJE
Kila nikifikiria naona kama hapa Africa, tunapaswa kuwa top 3 ya kupokea watalii kwa sababu ukiondoa overrated Egypt, sijaona nchi ya Africa inafikia Tanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.