Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naombeni namna RASMI ya kuwapata ofisi ya gazeti la Serikali kwa njia ya mawasiliano kwani, Kila nikiomba namba zao kwa watu mbali mbali napewa namba za watu binafsi. Ina maana hawana namba RASMI...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Ili kudhihirisha kitu ni vyema ukajiangalia kwanza Namna ulivyosimama ndani mwako ili uweze kudhihirisha jambo lako haraka. Udhihirishi chanya unahitaji nguvu ya Upendo,Unyenyekevu , uvumilivu...
2 Reactions
2 Replies
333 Views
Kwanza kabisa watu wenye group ‘O’ hawalogeki na ukijaribu kuwaloga yanakurudia, ukijitahidi kumloga humuwezi lazima mambo yadunde na mara nyingi wabaya wao wakishindwa huanza kuwapakazia watu...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
wakuu mbinu gani unaweza tumia kuomba ruhusa kazini ukiwa unaenda kufanya usahili sehemu nyingine?
4 Reactions
15 Replies
295 Views
Sijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano. Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Nilimuona kama alikuwa anaitendea haki wizara ya ardhi, alifanya kazi kwa weledi mkubwa kupambana na makanjanja wa ardhi akina Msama, Mushi na wengine. All of a sudden akaondolewa! What was wrong...
3 Reactions
18 Replies
960 Views
  • Closed
Vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa hawataki kutoa tarifa ila habari ndio hiyo vifo inaripotiwa ni vingi sana majanga hayo yanetokea leo hii. Kufuatia tetesi hizi, Jeshi la polisi limefafanua...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, Singida Kampasi ya Singida ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) imekabidhi msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum wanaolelewa katika Kituo cha Malaika wa Matumaini...
1 Reactions
0 Replies
124 Views
Jamaaa kachezea kichapo huku wakimwambia arudi Tanzania hakuna vita https://youtube.com/shorts/r9bgzFwNXPY?si=zRzlcPttmfmZ2mVB
2 Reactions
2 Replies
153 Views
Hakuna cha kuombeana hapa. Unalipwa kadri ya matendo yako duniani. Acha kupoteza muda, fukia maisha yaendelee. Yatengeneze maisha yako ya baadaye ukiwa hai. Hakuna cha kuomba. Nyie wanasiasa...
3 Reactions
5 Replies
313 Views
Maisha ili ufanikiwe unatakiwa uwe na stress ambazo zitafanya upambane sasa umekaa kwenye chumba cha 25k kwa siku ukiingiza 5k umeshamaliza na huna stress. We panga ata nyumba Kwa 200k uone...
5 Reactions
28 Replies
259 Views
Najua watu wengi huku ni watu wa heshima na wengine wapo top kwenye maamuzi mengi, na ni muda mrefu umepita bila self reflection. Sasa kukosa self reflection ni kama kuanguka kidogo kidogo...
1 Reactions
2 Replies
132 Views
Salaam Wakuu, Naona LATRA imeamua kula sahani moja na Madereva, Safari hii itakuwa kumbakumba nguo kuchanika. Ipo hivi; Kuanzia mwezi wa nne 2026, kama wewe ni Dereva na haujajisajili LATRA, Au...
13 Reactions
38 Replies
1K Views
Isaya 61:1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao...
2 Reactions
2 Replies
256 Views
Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Wadau tumsifu Yesu Kristo. Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake...
3 Reactions
25 Replies
631 Views
TAASISI zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi nchini zimetakiwa kuhakikisha zinajisajili kabla ya Aprili 8, mwaka huu, vinginevyo zitakabiliwa na hatua kali za kisheria ikiwemo faini ya...
5 Reactions
7 Replies
333 Views
Back
Top Bottom