. Hizi ndizo sababu kuu:
1. Uwajibikaji wa fedha za umma
Ripoti ya CAG inaonyesha jinsi fedha za serikali zilivyotumika. Rais anapewa ili ajue kama fedha zimetumika vizuri au kuna ubadhirifu.
2...
Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mshika dini
Nimesoma sana dini yangu na dini nyinginezo, zinazomjua Mungu mmoja na zinazoabudu miungu.. Uchawi ama kwa ubaya ama kwa uzuri umetajwa kwenye kila...
Spirtual awekening(kuamka kiroho) nini?
ni kitendo cha mtu kupata ufahamu wa kiroho au uelewa unaohusu Mungu kuongezeka.
Au ni kitendo cha binadamu kuongeza ufahamu zaidi wa jinsi Mungu(God)...
Habari za wakati huu
Katika harakati za kujitafutia ugali after chuo, nimetapanya CV yangu karibu kila office niliyoona kuna fursa iwe private/Gvt.
Nyingine zilitiki na nyingine ndo kama hivyo...
Leo janja kanifuata nimsaidie holiday package hesabu za fraction word problems.
Kwa kutumia mifano rahisi ya kwenye kitabu kaweza kufanya hesabu rahisi 4 kati ya 10. Hesabu zingine 6 zimemlamba...
The project is undertaken by Shanghai Jiao Tong University (SJTU)
hii facility ni kwaajili ya science and technology kufanyia tests zao hapa.
Kwani hivi vyuo vya kiafrica havina project zozote ??
Habari,
Kuna baadhi ya matangazo ya KAZI huwa yanahitaji CV hasa kwa njia ya WhatsApp.
Je njia hii ni salama kwa ajili ya privacy nk?
Je ni hatari kiasi Gani?
Ahsante.
Kumekuwa na tabia ya watumishi wengi wa Serikali kujadiliana au kufanya kazi za Serikali ndani ya Treni ya SGR.
Kwa Usalama wa data za Serikali, hili haliko sawa kutokana na baadhi ya mazungumzo...
Hivi serikali inataka tuishije jamani? TANESCO mnatupiga bei kubwa, halafu hata kununua umeme imekuwa mateso makubwa.
Leo ni siku ya tatu, Kariakoo nzima na maeneo mengine nchini hawawezi...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amekagua ujenzi wa Daraja la Kamishango lililopo katika Kata ya Ikondo, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera...
Ingawa ni fundisho, moyo wangu umejaa wasiwasi mkubwa, nikihofia kwamba roho zetu kama Watanzania zimejaa ukatili kwa kiasi hiki.
Kama wananchi hawawezi kujitofautisha na wale wanaofanya uovu...
Wanabodi,
Hebu shuhudia
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
1. Nyomi!.
Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea...
Baada ya kusambaa kwa tetesi zinazodai zaidi ya watu 200 wamefariki kwenye machimbo ya Msasa Geita, jeshi la Polisi limekanusha taarifa hizo kwa kueleza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha...
March 27, 2026, Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) lilifanya mahafali ya 15, ambapo wauguzi katika ngazi mbalimbali waliokuwa wamefaulu mtihani maalumu unaosimamiwa na baraza hilo walipewa leseni...
Wakuu,
Salamu nyingi kwenu, wanachama (wana JF) na wageni wote mnaotembelea JamiiForums! Tunayo furaha kubwa kuendelea kuwa nanyi katika jukwaa hili muhimu ambalo limekuwa kitovu cha fikra...
Thamani au heshima ya kweli haitokani na kazi, pesa, biashara mali au umaarufu ulionao n.k
Tupo katika dunia ya watu kutafuta kuthaminiwa na wengine ndipo na wao wana jiona wa thamani.
Je mtu au...
Wakuu,
Habari wana JF na ndugu zangu katika imani,
Kuna hili jambo naomba kusaidiwa na kupewa maarifa juu yake maana hunipa utata kuelewa kuhusu sherehe ya Pasaka, Viongozi wa imani hutumia mfumo...
Wakuu,
Dunia ya sasa ipo kiganjani mwako, lakini je, kila unachokisoma au kusikia ni cha kweli?
Shiriki nasi katika Mjadala wa "Mchakato wa Kuhakiki Taarifa Kwenye Vyombo vya Habari, Unaendana...
Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.
Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.