Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ikiwa leo ni siku ya nne tangu tukio la watu wanne waliosombwa na maji Mto wa Man'gonyi Wilayani Ikungi Mkoani Singida, Kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopiga kambi katika Mto huo...
1 Reactions
0 Replies
163 Views
https://www.youtube.com/live/QA0TJ67CiXI?si=4XzdYqPxyfSkdAiX Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
1 Reactions
3 Replies
414 Views
Wanaosema dini ni nusu ya uchizi hawajakosea. Fikiria, kabla dini haijaletwa mtu mweusi ulikua na maisha yako na namna ya kuomba Mungu kwa dini zako za asili. Baada ya kuletewa dini leo hii wewe...
2 Reactions
33 Replies
531 Views
Anonymous (bbf7)
28 FEBRUARY 2026, Basi la Abood lilitoka Mbezi Bus Terminal, kufika chuo cha St Joseph likapata hitilafu, wahusika wakatoa taarifa kuwa Bus imekata Fen Belt, hivyo abiria tuwe wavumilivu fundi...
1 Reactions
3 Replies
310 Views
Leo wakati nakwenda kazini nilimwona ndege huyu kwenye sehemu ya paa langu hivi; asubuhi tulikuwa na snow kidogo. Niliporudi nyumbani baada ya kazi saa 10 jioni nilimkuta bado yupo ila...
14 Reactions
66 Replies
2K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere amegusia changamoto za Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kueleza kuwa umesababisha hasara ya Tsh...
1 Reactions
1 Replies
694 Views
Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters...
2 Reactions
3 Replies
212 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Safia Jongo akizungumza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limesema kuwa Machi 29, 2026 saa nne asubuhi lilitokea tukio la kutitia kwa Maduara manne ya uchimbaji madini...
1 Reactions
27 Replies
553 Views
Mambo vipi ndugu zangu? Leo nimekuja kwenu nipate ushauri maana napitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu kutokana na ulevi wa kupindukia, labda nianze tu kwa kuwapa historia fupi tu ya...
29 Reactions
153 Replies
6K Views
Inakuwa vipi ? wadau wa sheria za kimataifa tupeni elimu. Je kama wanafungwa KWENYE magereza yao inamaana wamaheshimika na kutambulika kisheria na kama wanafungwa Kwa jinsia zao za kale au za...
3 Reactions
15 Replies
406 Views
Kuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema. Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa...
11 Reactions
148 Replies
3K Views
Jaji Mstaafu Julie Catherine Manning amefariki dunia leo Machi 20 katika hospitali ya Hitech Health care iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Manning aliyekuwa pia...
2 Reactions
14 Replies
642 Views
  • Redirect
Hizi ni ndoto na maana yake katika maisha yako. Katika Maisha ya binadamu Mungu utumia ndoto kama sehemu ya kuelezea hali ya binadamu wakati uliopo na wakati ujao. Mungu usema na binadamu...
2 Reactions
– Replies
– Views
Kwenye lango la kuingilia survery ile sehemu ya kukaguliwa na kuchukua ticket kulikuwa na mistari mitatu ya magari. Kulia, kati na kushoto. Gari zilikuwa nyingi kati na kushoto. Kama zimepanga...
10 Reactions
16 Replies
667 Views
Anonymous
Kuna kero iliyokithiri huku Mbondole Kata ya Msongola, Wilaya ya Ilala, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, kwanza ni kuhusu miundombinu ya barabara zetu, hazipitiki nyakati zote za mwaka si...
0 Reactions
4 Replies
183 Views
Kuna jambo ambalo linatatiza akili yangu mpaka nahisi kuchanganikiwa Kuna siku moja mwaka jana mimi na mke wangu tulikuwa tumelala ilikuwa mida ya saa tano usiku simu ya mke wangu iliita...
18 Reactions
94 Replies
2K Views
Wakuu habari, natumai mko poa kabisa. Ninaomba ushauri kwakuwa kidogo kwa sheria zetu za Tz zinachanganya sana. Kuna bidhaa fulani ni kinywaji nataka ni ki introduce ila sio luxury ni...
9 Reactions
29 Replies
458 Views
Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa. Taa zipo ila...
2 Reactions
1 Replies
202 Views
Ulishawahi kutuma email kwenye hizi email address zilizopo kwenye website za Wizara ukajibiwa?
2 Reactions
5 Replies
153 Views
Anonymous
Sisi wanakikundi tuliomba mkopo wa Halmashauri na tukafanikiwa kukopeshwa shilingi milioni tano kwa ajili ya mradi wa mama lishe, tulifuata taratibu zote za kuhudhuria mafunzo, kusaini mikataba ya...
2 Reactions
2 Replies
211 Views
Back
Top Bottom